heee makubwa jamani. Mwanamke wa huku hapendi kufadhiliwa na mwanaume. yeye anapenda kumpiga mwanaume masuprise kem kem na akipigwa yeye anafurahi ila atafanya kila njia arudishe fadhila kwa kuyaona hapa chuoni. na anasema mii naona tabu vooo mwanaume anipe hiki hiki hiki siipendi i feel bad.
Tena nikaja gundua wanaume wa huku wabahili ajabu. niliyaona haya baada ya mwanaume mmoja kunifata .basi huyu mwanaume akasema wewe mtoto mzuri nataka kuwa na wewe cuz unasoma ukimaliza unakazi yako na mimi yangu hatutohangaishana kifedha.heeee yeye yuko kwenye hella ndo aloiweka mwanzo lakini kanikuta bado sitaki kujihusisha na hayo.
Basi wanawake wa Tanzania wachuneni kaka zangu wa kibongo huko aiseeee ukija huku huyapati ayo hamna kudeka huku. wachuneni ao msiwawache huku hamna kudeka.