Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mm n mmoja wapo...nilitongozwa na mwanamke..sikuweza kukataa ..nkapiga show then nikaendelea na utaratibu wangu..tupe ushuhuda wako kama mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kataa
2 Reactions
61 Replies
15K Views
Muhimu: Nimesema wengi sio wote Ni kutokana na maisha waliyoyaishi Akitoka shuleni, nyumbani hakuna kutoka (geti kali), ni kiangalia katuni na kufanya homework Shule zao darasani unakuta watu...
7 Reactions
34 Replies
8K Views
Habari ya jioni wakuu na tuendelee kuchukua tahadhari Corona ipo. Niende kwenye mada. Nimekuwa nikisoma maandiko mbalimbali ya watu wanaoomba ushauri kuhusu suala la kaka na dada kuwa wapenzi na...
8 Reactions
164 Replies
36K Views
Nakumbuka viroja na vituko vya watoto wa matajiri jinsi walivyoathiriwa na pesa nyingi za wazazi. Chuoni nakumbuka nimesoma Arusha basi kuna kipindi chuo cha Ifm kilijaa ikabidi wanafunzi wengine...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa. Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi. **nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu...
20 Reactions
232 Replies
33K Views
Kuna baadhi ya familia mwanaume akishindwa baadhi ya majukumu yake hasa ya kipato ni kawaida kusikia mume akimwambia mkewe 'fanya maarifa' au ufanye maarifa basi' Hivi hili hasa linaamaanisha...
13 Reactions
303 Replies
37K Views
Eeeh bwana eeh wasalaaam. Hebu wajuba njooni tutoe sababu za msingi zinazofanya tunawakimbia akina dada wanatupenda wao wenyewe bila kutumia nguvu nyingi. Mimi binafsi nimekutana na kesi nyingi...
4 Reactions
100 Replies
11K Views
Wanaume wenzangu mnatakiwa mtambue kwamba kuwa na mwanamke siyo kosa ila kuwa na mwanamke mbaya asiye kidhi vigezo vyako ni kosa lako mwenyewe usilaumu na kutamani wake za wenzako, Mungu kaumba...
12 Reactions
61 Replies
7K Views
Jamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba...
11 Reactions
409 Replies
23K Views
Kwa kizazi hiki na miaka hii, ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana, ikiwezekana mpongeze. Nakwambia kuna wenzako wanaishi na mume nyumba moja kitanda...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu ebu tuwe wawazi, hivi uko mliko serious mnafeel na kuexperience real love? Maana kwa upande wangu mambo ni bila bila, mapenzi ya kweli naishia kuyaona kwenye movies na kuyasikia kwenye...
10 Reactions
70 Replies
7K Views
Nikiri tu mimi ni mlevi na napenda wanawake wenye chura/makalio makubwa. Yaani akipita mwanamke mwenye makalio makubwa lazima nimuangalie/nigeukie. Yaani ukiniuliza ni kwanini hata sijui...
3 Reactions
87 Replies
14K Views
Habari zenu nyote, Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi. Maisha ya...
206 Reactions
171 Replies
13K Views
Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara...
25 Reactions
76 Replies
8K Views
Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa...
2 Reactions
79 Replies
15K Views
Wakuu habari Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga...
2 Reactions
89 Replies
9K Views
Tokea Form 6 nimekua nikiwaza kujiajiri tuu, ila vile maisha ya kiyatima na kimaskini yamenichelewesha kidogo. Ila nashukuru Mungu Nina miaka 30 na mambo yanaenda (I have started Small..!!)...
8 Reactions
218 Replies
15K Views
Hello Wapendwa. Kuna mahala fulani huwa ninasafiri kwenda mara kwa mara kufuatilia mambo ya kibiashara.Huko mahala ninaposafiri huwa kuna mama yangu mkubwa anaishi huko lakini siku zote huwa...
49 Reactions
181 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…