Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

Agresive

JF-Expert Member
Feb 18, 2018
889
1,226
Habari ya jioni wakuu na tuendelee kuchukua tahadhari Corona ipo.

Niende kwenye mada. Nimekuwa nikisoma maandiko mbalimbali ya watu wanaoomba ushauri kuhusu suala la kaka na dada kuwa wapenzi na kupeana mimba.

KISA NO.1.

Kama si wiki hii basi ni wiki jana kuna sms ilikuwa inazunguka mitandaoni mama mzazi wa watoto akiomba ushauri kuhuhu kijana wake wa kuzaa kuwapa mimba dada zake 2 double likizo hii ya corona.

Nieleze kwa ufupi.

Mama mmoja alijitambulisha kama mfanyakazi wa umma ambaye anasimulia kuwa ana watoto 3, wakiume miaka 17, wa kike 15 na wa kike tena 13.

Mama yule anakiri kuwa karibu sana na binti zake na amekuwa msaada kwao kipindi cha period kuwapa care zaidi.

Anaendelea kusema kipindi hiki cha likizo ya corona umepita muda bila binti yake mkubwa kuomba msaada wa mama kuwa yuko period kama ilivyokuwa ada siku zote.

Mama alipata hofu kimya kimya akaomba mkojo wa binti na kuupima mimba ikasoma positive, Anasema alihamaki ila akajipa ujasiri, akakaa na binti yake kwa upole aeleze mhusika, Binti akathibitisha kuwa ni kazi ya kaka yao, mama anapokwenda kazini wao hubaki na ligi nyumbani ya sex na kaka yake.

Mama huyo alipata hofu pia kuhusu,mtoto wa miaka 13 ambaye alivunja ungo akiwa na miaka 11, baada ya kumpima na yeye alibainika ana mimba pia na wote kawashugulikia kaka yao mkubwa, baada ya kumhoji kaka mtu alikubali na kutoroka home.

Mama huyo alikuwa anaomba ushauri afanyeje na suala la kutoa mimba hakulipa kipaumbele kwa kusema ni mcha Mungu.


KISA NO.2

Kuna kaka pia alikuwa anaomba ushauri kuhusu dada yake kumng'ang'ania amuoe.

anadai kuwa alizaliwa na dada yake wakiwa 2 na maisha kwao yalikuwa mazuri na yalikuwa ya geti kali kiasi kwamba hawakupata muda wa kuzurula sana.

Mwaka sikumbuki vzr akiwa form 5 na dada yake akiwa form 4 akampa mimba walivyoanza mapenzi hakusimulia sana.

Timbwili timbwili liliendelea ila dada yule baada ya kipigo cha baba yake alikiri kuwa mimba ni ya kaka yake, mama yao kwa mshituko alipoteza maisha.

Baadaye kijana alikimbilia dar kutafuta maisha, binti alijifungua baadaye baba yao pia alifariki.

Baada ya siku kwenda yule kaka anadai maisha yaliendelea poa DSM na akawa na uwezo wa kuendesha maisha na hatimaye dada yake akamfuata DSM alipofika dada yake akataka show tena kuwa haina jinsi maana ameshamzowea na alipofika aliharibu mahusiano yote ya kaka yake na wanawake wengine kwa kudai yeye ni mke wake. Na kaka yule alikiri kumhudumia dada yake haikuwa na jinsi.


MASWALI NISIYOYAPATIA MAJIBU.

1.Dada yako mnaanzaje mazoea mpaka unafikia hatua ya kumgegeda??.

2. Au ni roho za kishetani zinawakumba

3. Je ikishatokea wakazaa na mtoto kuaoana ni halali??

4. Kwa nchi yetu ni kosa kisheria au imeakaaje.

5. dada yako naye unapiga style zote hata zile kama za mieleka maana style nyingine kama vita ya 3 ya dunia.


Naomba kuwasilisha, Poleni kwa uzi mrefu , mwenye kisa pia anaweza kutupa uzoefu.
 
Jibu ni kwamba huo ni ushetani! Watoto wa familia moja hamuwezi kufanya hayo! Huwezi kukaa karibu na Dada zako nyumbani kama wewe ni mtoto wa kiume utaenda kucheza na rafiki zako! Dada zako wako home! Mawazo hayo yanakuwaje!
 
Mkuu asante kwa huu uzi utatujenga sana;

Haya mambo huwa ni roho chafu inatafuna huo ukoo.... ukifuatitilia kwenye ukoo wao inawezekana kabsa huwa wanagegedana ndugu kwa ndugu so they are not the first ones in that clan.

In the Bible... kufanya hvo uzao wote unalaaniwa mpaka kizazi cha nne.

Samahan. nimechangia kiimani zaidi but the only way ni kubreak chain
 
Mkuu asante kwa huu uzi utatujenga sana;

Haya mambo huwa ni roho chafu inatafuna huo ukoo.... ukifuatitilia kwenye ukoo wao inawezekana kabsa huwa wanagegedana ndugu kwa ndugu so they are not the first ones in that clan.

In the Bible... kufanya hvo uzao wote unalaaniwa mpaka kizazi cha nne.

Samahan. nimechangia kiimani zaidi but the only way ni kubreak chain
Utakuwa sahihi mkuu maana kwa akili ya kawaida dada yako ni ngumu kumfanyia huu upuuzi, na ikitokea hivo hata watoto wao wataiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom