Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umeshawahi angalia tv za makanisan Ama ushawahi KWENDA makanisa ya kilokole NKAONA mapepo yanavyowatesa wanawake Binafsi niliiwahi KWENDA kawe na bado naenda kawe na makanisa mengine ya kilokole...
4 Reactions
13 Replies
650 Views
Wana Jf Nilijiunga chuo kikuu cha serikali nikitokea kazini. Hii inamaanisha nilikwenda nikiwa mtu mzima umri wa miaka 35. Kwa kuwa nilikuwa mtu mzima nilikutana na watoto wadogo sana na wengine...
16 Reactions
92 Replies
6K Views
Hapa Naona kama nimepigwa hivi, siku tano baada ya mizagamuo anahisi mimba!? Ila siku niliokutana nae alikuwa danger day Oya nishaharibu
1 Reactions
13 Replies
553 Views
Kuna siku mke wangu alinuna kwenye ndoa kila nikiomba tendo ananiwekea ty nafanya bila ushirikiano wowote. Nikaamua kumchana na kumwekea ngumu na kusema siridhishwi na mwenendo wako kwa tendo...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Kuwa na maumbile makubwa hasa mwanaume kunaweza kusababisha kuachana mapema baada ya kumpata umpendae, fikria umemtongoza dada wa watu kwa muda mrefu au unataka ule tunda kimasihara,lakini...
12 Reactions
78 Replies
3K Views
Jamani eeeh kweli dunia sio mbaya walimwengu ndio wenye vihoja. Mwishon mwa mwaka jana nilijikuta nafanya mapenz na mke wa superstar mmoja hapa bongo bila kujua. Ilikua hivi, nakumbuka ilikua...
13 Reactions
124 Replies
18K Views
Kama heading inavyojieleza hapo juu.... Habarini wadau jamani mke wangu anaujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake...
4 Reactions
13 Replies
6K Views
jamani naomba mwenye sample ya talaka humu ndani anipostie nataka kufanya maamuzi magumu kidogo
3 Reactions
79 Replies
24K Views
Hello guys, Kuna msemo mmoja unasema kuwa "behind every succesful man there is a woman", means kuwa mwanamke huchangia mafanikio ya mwanaume kwa kiasi kikubwa, i believe most of u JF men...
21 Reactions
29 Replies
3K Views
*Kweli wasichana mna akili za usiku tu. Unakuta msichana analalamika, "Ooh nyie wavulana ata mfanyiwe nn hamridhiki, ata mpendwe mara ngap, mi mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila...
5 Reactions
47 Replies
8K Views
Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa. Jana akanipigia na kudai...
20 Reactions
613 Replies
39K Views
Kuzingatia ya kwamba wale waliozaliwa mwaka 2000 wametimiza/wanatimiza miaka 18. Kuzingatia ya kwamba watoto wa sasa hivi wanawahi kukua. Kuzingatia ya kwamba kulala na minor ni sawa na kubaka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi sijipakulii minyama ila huyo mwanamke atakuwa kapata bahati sana Mimi sio mlevi sana, naheshimu mawazo ya watu, sikasiriki ovyo najitambua mno, simyenyekei mtu kisa ana pesa Wala mamlaka...
25 Reactions
115 Replies
3K Views
Habarini za jioni wakuu? katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi. kwanini hao...
6 Reactions
207 Replies
40K Views
Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa. Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini. Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Duh kazi kweli kweli dunia imeisha ,watu wanafanya matusi hadharani hiki ni kinyume na maadili, hivi Dar kuna shida gani? Tatizo ni nini? Hebu tujuzane wana jf
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wanajamvi. Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii. Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa...
33 Reactions
415 Replies
27K Views
Dada wa watu anaomba ushauri Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale...
18 Reactions
207 Replies
7K Views
Hebu tupeni ushuhuda wale ambao mlioa mwanamke ambae alikuwa na ndoa yake akaachana na mumewe kwa ajili yako, je, unaishije nae? Mko happy au jinamizi la ndoa ya Kwanza linawatesa? Pia wanawake...
4 Reactions
7 Replies
795 Views
Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana. "Nalivua pendo by Mwasiti"...
6 Reactions
120 Replies
5K Views
Back
Top Bottom