Nimejipima VVU, niko Negative (-)

monta

JF-Expert Member
May 6, 2014
1,125
1,459
Wakuu habari

Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga.

Sasa juzi kati nilipata hofu kubwa sana baada ya kupita na manzi fulani mkalii ila nilikua simuelewi elewi. Ikapita miezi kadhaa nikatafuta vipimo kadhaa vya HIV.

Nikakaza moyo nikajifungia ndani nikapima niko freshi aisee sikuamini nilitokwa na mchozi. Saa hizi msichana yeyote nikihitaji kula tunda nampima kwanza hapo hapo ndio nakula tunda kavu kavu.

Je, ushawahi kujipima UKIMWI na ukakuta upo Negative! ilikuaje?
 
Back
Top Bottom