Usikimbilie kuoa, utajuta

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Usiseme hujaambiwa. Kijana usijifanye we mfia dini kwa kutaka kuhalalisha wakati bado unajenga career, hakikisha wakati unatangaza ndoa uwe umekamilisha angalau Masomo na una career au biashara inayoeleweka. Kuna dogo alipata kazi SUA akaoa fasta akatakiwa kwenda PhD China.

Sasa Uchumi ukatingishika bibie huku anatoa mitusi kama yote, jamaa kule shule haiendi mwaka wa 7 karudi Bongo, mwajiri anamuuliza vyeti vya PhD jamaa anang'aa sharubu kwa huruma. Jamaa kawa re-categorized kuwa WARDEN

NB: Weka mambo ya uchumi sawa kabla ya kuoa, mwanamke si ndugu yako eti akuvumilie shida zako.
 
KUOA NI MUHIMU
tafuta mwanamke wa kuoa atakayejua ajukumu yake hata ukienda PHD utamkuta
kuna wanawake ukiwekwa rumande atamaliza kituo kizima kugawa ili utoke,
sasa ukienda Diploma si atagawa kwa maLecture wako
Dogo usiogope kuoa kuwa wenzako wapo sokoni na mananasi tu wana wake wawili
 
Kwenye Utawala Wangu Watu Waoe Nikimaliza Mimi Ndiyo Uwaze Kupanga Uzazi, Chakula Kipo Tele
Hadi Idadi Ya Watu Inasaidia Uchumi Kukua
Ila Wewe Mwenyewe Ni Mvivu Ndiyo Ufikirie Kupanga Uzazi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Back
Top Bottom