Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na watoto wenye tabia za ajabu mpaka ukashangaa sanaa unaweza baki na maswali mia kidogo tuanzie hapaa kuna siku nilikuwa naumwa bhna sasa...
15 Reactions
245 Replies
22K Views
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu. Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa...
5 Reactions
213 Replies
15K Views
Hakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame. Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa? Naombeni majibu. Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke Unachukua kitambaa...
25 Reactions
413 Replies
38K Views
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Mambo zenyu usiku huu, Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ?? Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura! Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha...
16 Reactions
552 Replies
32K Views
Wazima ,bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada Na nyie kina dada acheni kusimulia mambo mazuri mnayofanyiwa na wapenzi wenu ona sasa yaliyomkuta ndugu wa rafiki yangu. Iko hivi, rafiki...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni...
36 Reactions
322 Replies
10K Views
Za mda huu hapo ulipo.. Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana. Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Mazee
2 Reactions
3 Replies
268 Views
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu...
26 Reactions
108 Replies
8K Views
Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu...
24 Reactions
71 Replies
9K Views
Hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi khs wanaume hawa kwamba wengi wao hatuna nguvu za kiume,mara hatuwezi kwenda round2 or 3 bila kupumza nk. Nataka nikwmbie fanya research wanaume wa dar ndio...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wakuu? Nilisafiri siku kadhaa nyuma hapo nimerejea juzi home. Sasa katika kutiana na wife wakati naingiza rungu langu kwake nikaona ngoma imezama tu bila tabu, kwa uzoefu...
31 Reactions
128 Replies
7K Views
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume). Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko...
5 Reactions
138 Replies
19K Views
Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali? Tafiti ndogo isiyo rasmi inaonyesha kuna uzinzi mwingi unafanyika kwa wanandoa nje ya ndoa zao. Tena imekuwa kama ni kawaida...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Salam wana JF, Kama kuna mtu hajawai kutendwa katika mahusiano ya kimapenzi pamoja na ndoa, ajitokeze aeleze ni nini siri ya kutotendwa ili na sisi tunaotendwa tutumie njia hiyo, maana nshachoka...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia...
12 Reactions
228 Replies
35K Views
Salaam wadau Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake...
4 Reactions
253 Replies
81K Views
Back
Top Bottom