Habari za muda huu wadau wa JF hasa jukwaa hili la MMU? Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu ni wazima... Kwa wale mnaoumwa au mnauguza ndugu basi nawapa pole sana najua mda si mrefu mtakuwa katika...
NI KWELI UNAWAPENDA WATOTO WAKO WOTE KWA USAWA?
Hii ni kwa wazazi wenye watoto kuanzia wawili na kuendelea.Kila mzazi ukimuuliza kama anawapenda watoto wake atakujibu ndio tena sio...
hellow,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ni mwanafunzi wa chuo flani,nahitaji msichana wa kuwa nae for long term relationship umri usizidi miaka 25,awe mtu wa kujituma na muelewa,for more...
Hallo wana jamii. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26. Nimrefu kidogo, nakaa geita. Nahitaji rafiki wa kike wa kuchati naye. Awe na elimu angalau kidato cha nne. Awe na rangi maji ya kunde awe...
Mie nina miaka28,Natafuta mdada Mrefu na Meupe na awe mkweli,akitaka aangalie picha yangu Facebook John Bumija,Na awasiliane nami kwa 071233687 au 0759063942
Kusema kweli nina rafiki yangu yupo njia panda, mpenzi wake amekasirika sana wala hataki kumuelewa, imekaa hivi kuna jamaa mmoja alikuwa akimtokea huyo rafiki yangu mwenyewe anavyosema, akamwambia...
habar wana Jf. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 natafta bint nitakayefunga nae ndoa. Awe na sifa zifuatazo elimu isiwe chini ya kidato cha sita,asiwe mnene, mchangamfu, japo...
hivi kwann pale mtu anapokuwa yuko prosperous huwa idadi ya watu walioko nyuma yake inakuwa kubwa sana. Yaani utakuta marafiki, ndugu, wafanyakazi wake wapo karibu nae sana sana. ila sasa mtu huyu...
Ukiwa popote pale duniani, unaweza kumtambua mwanamke anayetoka jijini Dar es salaam kwa kumtazama tu...Utajuaje?
TUMBO : ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES...
So many people are single now days. Some say that they are single because they are either heart broken or cannot find a suitable husband or wife.
Now back to you single ladies and gentlemen. Why...
Wada kaswali tuu maana kuna mrembo mmoja kanifanya ni bakie njia panda tulikuwa tunaongelea juu ya mabinti wakileo kuwa hawana bikira zao nikashangaa yeye ananiambia kuwa yakwake anayo...
Ni siku ya tatu (3)sasa tangu nitoe salam zangu kwa wazee na sis wangu tanga...salam zenyewe ni kimbweka kuniahidi atakuja tanga na aongeze nyumba ndogo...lakini sikumpata tena hewani wasi wasi...
Mode naomba msiitoe hii kama mtaona si mahala pake.
Hiki ni kisa cha kweli ninaomba msaada wa namna ya kudeal na hii ishu nikiwa kama mtu wa pembeni na si mwanafamilia. Rafiki yangu amenieleza...
Mwanaume akiflirt kuna uwezekano mkubwa akaenda all the way; ila mwanamke akiflirt she is most of the time not serious. Riwa nafikiri hii inafanana na swali lako la SMS kwenye simu ya mwanaume na...