Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Mode naomba msiitoe hii kama mtaona si mahala pake.
Hiki ni kisa cha kweli ninaomba msaada wa namna ya kudeal na hii ishu nikiwa kama mtu wa pembeni na si mwanafamilia. Rafiki yangu amenieleza yafutayo kuhusu baba anayemlawiti mtoto wake............
"Huyu mzee anamke wamezaa mtoto mmoja na kwa bahati mbaya wamesha achana kama miaka miwili iliyo pita..yule Mzee kabaki na Mtoto wake wa Kiume anamiaka 7 yupo Darasa la kwanza Shule Flani Tabata..toka muda yule Mzee anatembea na yule mtoto wake wa Kiume wa Miaka 7.kwa lugha rahisi ANAMLAWITI..au kwa lugha ya Kimtaani "ANAMF..RA"..huyu mtoto ni anatoka na haja KUBWA kila saa tena kwa Mfululizo na hawezi kujizuia kabisa yani..amekuwa akilia kila saa..Majirani wamekuwa wakishuhudia bila kuchukua hatua yeyote..natamani niwaweke ndani na wao pia..Baba mtu yupo na mama mtu yupo na anajua kitu Mumewe anacho kifanya kwa miaka yote sema anahela so wanayamaliza kifamilia. Rafiki yangu aliniomba ushauri ila naona ni vizuri kuwaletea na nyie mjaribu kutoa wazo.
Inaumiza sana sana nimeumia Moyo nikaona niwashirikishe mnishauri ni namna gani naweza msaidia huyu mtoto