Kila mtu na mtazamo wake kwangu kila siku ni mpya
Ndoa balaa tupu eeeeh LIMEKUGANDA hilo mkuu....................................Hiyo ni kuonyesha ni jinsi gani ndoa zilivyopasua kichwa, mmoja akiwa safarini, aliyebaki home anakuwa kapumzika na makelele ya ndoa, atakaporudi mwenzake si rahisi makelele yatokee siku ya kwanza, hapo ndipo wanapojiona wapya. Ndoa! Ni balaa tupu!
Sasa hapo kwenye mitihani ndo tunapopataka ili upate relief ya kuwa na mmoja
pole sana hujui maana ya ndoa wewe ushaaminishwa ni mafarakano baaas .kwangu kila siku ni mpya na ni mgeni hahahaha pole yakowewe kama unaongea ukweli basi una matatizo, mama yangu mwenyewe nikikaa naye niko likizo lazima tukwazane hapa na pale ije kuwa rafiki?
Kila mtu na mtazamo wake kwangu kila siku ni mpya
"Kama mwezi hivi.... Siku akirudi mnakuwa wapyaaaa"
haya maneno yaliongelewa tea room na watu wenye miongo katika ndoa zao. Mi nikasema dah!!!!....
Ndoa balaa tupu eeeeh LIMEKUGANDA hilo mkuu....................................
inategemea, mm leo wangu ameondoka 50/50 tu