Namtafuta kimbweka jamani!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta kimbweka jamani!!!!!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Nov 12, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni siku ya tatu (3)sasa tangu nitoe salam zangu kwa wazee na sis wangu tanga...salam zenyewe ni kimbweka kuniahidi atakuja tanga na aongeze nyumba ndogo...lakini sikumpata tena hewani wasi wasi wangu ni kwamba si bure hapa pana mkono wadau kama si wa ROSE ni MAMA BIG,,,Nimpataje huyu jamaa??

  OMBI:ATAKAE KUMBANA NAE POPOTE KWA LEO AU KWA KESHO AMPE SALAM NISHAPELEKA SALAM KWA BABU WA KIDIGO (TANGA)CHONDE CHONDE...
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mwiba una mambo wewe pale mnapokutana leo hajafika?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie nipo tanga tayari
  Nlikupigia nkakuta ya kiganjani imizimwa ziiiiii
  Nkabidi niende Kagera kwa kina inshomire
  Ila narudi tanga usizime ya kiganjani
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  nimuone wapi mkuu..siwamjua kwa kubadilisha kona...mpaka avatari kabadili na akinipotea zaidi atakapo badili jina tuu ndio itakuwa mchuzi wa bokboko kutiwa chumvi au mchuzi wa wali kutiwa sukari baba....lakini nna dalili naona kama ndio yeye huyo chini yako???
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Aaaaahhh mtaalam watokea wapi tena weye yakhee???mi ninkusubiri mpaka natia khofu kwa wamama wa jf si wajua tena mambo yakibadilika na wee huishi kutapatapa na kagera umekwenda kusaka nini tena naskia vibinti vya huko vyanuka pwipwiri ile noma tulizana bwana sie tushafukiza udi tushafunga mapazia ni wewe tuu kutia mguu........mahari takuja elewana ustie khofu waoa mtanga ivoo weye????????wanaokubania vijicho mitego tu ya humuu na preta kaamua KUkaa uuc .h .iii sasahivvii sasa ndo nini
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Afadhalli umempata maana leo usingelala kabisa
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kuna Nyegelesha duh nimekoma
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  AAA MI NINGELALA IIILAAA!!!!NAKWAMBIA NLIKUWA NSHAENDA KUTIZAMIA KWA BABU WA KIDIGO...LAKINI NDO ASTE ASTE KARUDII!!!:smile-big:
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  MAANA AKE KAINGIA NA KASI MPYA NGUVU MPYA SIJUI WATAKA TUEKA WAPI VIDUME WA HUMU MANA KUANZIA JINAAA AVATARIII THREEADI ZAAKEE VYOTE HAVIFAI KUNA WALIOKWISHA LALAMIKA WAMWAMBIA VIPI????WE NYEGELESHA BADILI JINA NA AVATARI BADILI NA UTAENDELEA KUWA JF MEMBER ISPOKUA KIN ASPRINI WAFAGILIA ILE NOOMA...:smile-big:
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2013
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu nipo Tanga nimenaswa naomba unipe mbinu ya kujinasua duh, Tanga nooooma, chezeiyaa Tanga weye ?..............:wink:
   
Loading...