Wadau hii imekaaje?

Wadau hii imekaaje?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
"KUJENGA UKWENI NI SAWA NA KUJENGA NDANI YA HIFADHI YA BARABARA" :tape2::tape2::tape2::tape2::tape2:

Watakao kwazika samahani sana........!:A S 39:
 
Inaweza kuwa kama mzaha... But wanaume waliojenga ukweni na hali hawajajenga kwao ni wengi sana. Na hiyo hutokana na influence ya mwanamke/mke wa mwanaume na ni kwa kiwango kipi huyo mwanaume kakamatika.

Kimsingi siyo mbaya kwa mume kujenga ukweni... Ila ubaya uja pale ambapo kwao ni ovyo na kwastahili kujengwa pia alafu kisha akaanza kwa wakwe. Ni aibu.

Tatizo la hili suala, waume wengi sana katika ndoa wamekamatika na wake zao, wala hata hawatambui wamekamatika kiasi kwamba hata akisoma hii post yako Kimbweka, hasikii wala haambiwi, na bahati nzuri ama mbaya wala hata asigundue kuwa inamhusu... Lol.
 
Last edited by a moderator:
Acha utani...............sasa focus yako km mume ipo wapi hapa
1.kwa familia yako i mean watoto wako
2.kwa wakwe zako i mean wazazi wa mke
3.kwa wakwe zake binti i mean wazazi wa mume

never try to re-write the history just move forward, jenga familia yako nao waje wajenge familia zao na kuendelea hivyo na hivyo, otherwise kuna makubaliano ya kumjengea something thats not bad by anyway...............but never loose your main focus!!!!!!
 
Inaweza kuwa kama mzaha... But wanaume waliojenga ukweni na hali hawajajenga kwao ni wengi sana. Na hiyo hutokana na influence ya mwanamke/mke wa mwanaume na ni kwa kiwango kipi huyo mwanaume kakamatika.

Kimsingi siyo mbaya kwa mume kujenga ukweni... Ila ubaya uja pale ambapo kwao ni ovyo na kwastahili kujengwa pia alafu kisha akaanza kwa wakwe. Ni aibu.

Tatizo la hili suala, waume wengi sana katika ndoa wamekamatika na wake zao, wala hata hawatambui wamekamatika kiasi kwamba hata akisoma hii post yako Kimbweka, hasikii wala haambiwi, na bahati nzuri ama mbaya wala hata asigundue kuwa inamhusu... Lol.

Hahahaaa duh AshaDii kweli umeongea , baadhi ya sie wanaume tunakamatwa vibaya na hawa mabinti. " Nakumbuka kuna jamaa mmoja alimpenda sana kupitiliza [ alikamatwa] na binti mmoja alikuwa anamtumia hela kwa M-Pesa kumbe ile akaunti ya binti mwisho ni shilingi milioni moja na huwezi kuongeza hela, sasa yule binti alikuwa mshamba ya haya makitu ya M-Pesa na alikuwa anamdanganya jamaa yake hana pesa kwenye M-Pesa , Basi jamaa anahangaika kutuma hela haziendi zinagoma maana kile kiasi cha 1 million kimeshatimia, Jamaa anaambiwa na washkaji huyo semu anakudanganya , hiyo akaunti yake imefikia kiwango cha mwisho hivyo helaa haziingii tena, Lakini wapi jamaa anasema demu wangu anashida sana , hana hela kasema nimtumie, kahangaika kutembea kwenye M-Pesa lakini waaapiii......!

Kweli wakati mwingine tunakamatiaka............!:A S 39::A S 39:
 
Hii mara nyingi hutokana na mazingira yaliyowekwa na mdanganyaji... Usiomba kukutana na mtu wa namna hiyo. Kwa kweli kama kukamatika kupo, ila kwingine unakuta mtu alokukamata anakunyonya hadi damu... Hana huruma hata chembe na wewe.

Hata hivyo haya mambo hayana formulae... Tunaenda hivyo hivyo kwa kubahatisha, hoping for the best.
 
Back
Top Bottom