Rafiki yangu Evelyn Salt njoo na huku msaada wa haraka unahitajika
tatizo langu mimi nikiwa siko na mwanamke uume wang unasimama vizuri lakini nikiwa na mwanamke chumbani uume hausimami ipasavyo naomben msaadA kwa hl
Rafiki yangu Evelyn Salt njoo na huku msaada wa haraka unahitajika
Acha kujianda kama unaenda vitani, usijipangie ratiba ya mapenzi kama ratiba ya vipindi shuleni. Sio kila ukikutana na mwanamke uwaze ngono tafuta muda utoke nae out ili uzoee hiyo hali ya kuwa nae bila kuwaza ngono na pia usisahau kuiambia dhamiri yako kuwa unaweza. USISAHAU Mapenzi kabla ya ndoa yanalemaza mahusiano.
aache uoga na kupania mechi!!!!!!!
vinasababishaga hii hali mara nyingine.
Woga kwani kaona simba? Hivi hizo hormones si zina kazi maalum. Inakuwaje adrenalin zikafanya kazi badala ya hizo za kuhamasisha gemu sijui testosterone sijui manini yale ya biology F3 jamani. Mbona mimi hata simba akiibuka geto kama niko na mchuchu kitu ni 90° mpaka nishushe mzigo ndo nakimbia. Chezea dick mbele ya chakula yake weye? Wengine watoto wanauliza maswali ya ajabu jukwaani. Wasubiri wakue period