G9T Dear mwaaa!!!!!!!! Yaleta kizaazaa

G9T Dear mwaaa!!!!!!!! Yaleta kizaazaa

mdida

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
1,607
Reaction score
777
Kusema kweli nina rafiki yangu yupo njia panda, mpenzi wake amekasirika sana wala hataki kumuelewa, imekaa hivi kuna jamaa mmoja alikuwa akimtokea huyo rafiki yangu mwenyewe anavyosema, akamwambia Yule jamaa kuwa na mpenzi wake so hamtaki, Yule jamaa akasema basi awe rafiki yake tu coz nayeye ana mtu wake, basi akawa anamtumia huyu dada sms. Siku ya siku ndo akatuma hiyo ya G9T Dear mwaaa!!! Mpenzi wake akasikia sms ikingia ile kuchukua cm akakutana na mwaaa sasa mambo yameharibika, ameshamwelewesha sana lakini hamwelewi, Ila dada wa watu anasema Yule jamaa alimkataza na akaelewa sasa sijui ilikuaje akamtumia sms ya vile. Wanajamvi hebu saidia hapa jinsi gani shemeji yangu aambiwaje ili aamini.
 
Amwamini nini sasa wakati kila kitu kiko wazi.......huyo dada ametaka mwenyewe na lazima watakua wanachart na huyo kaka....ni vigumu sana kwa sisi wanaume kumbughudhi demu kama haonyeshi uelekeo wa kutoa tundi.
Mwanamke ukiwa serious sisi wanaume huwa ni waelewa sana. :bange:
 
Kama jamaa kapiga mzigo chini mwambie ani PM nimsaidie haraka
 
haya mambo huwa yanatokea... huyo jamaa kama kweli anampenda demu wake basi hiyo sio sababu ya kuachana... sisi wanaume smtyms ni ving'ang'anizi sanaa... Aendelee kumuelewesha tuu bila kuchoka.
 
Hakuna urafiki wa mpenda na mkataa, hapa kuna walakini nahisi huyu dada ana zaidi ya unachokijua wewe. Mapenzi yanaanza na rafiki, ndugu, Dear, Sweetheart, na manjonjo kama Mwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! sasa jaribu kuangalia hawa wamevuka hatua 3 ni wazi wana urafiki wa kimapenzi japo wanaweza wasiwe wapenzi. Urafiki wa aina hii ni hatari saaaaaaaaaaaaaaana kwa mahusiano yako.....Pia inawezekana huyu jamaa anataka kumwaribia huyu mdada akitegemea akidrop atatua mikononi mwake. USHAURI yeyote anapokuwa na serious relationship akwepe kuwa na urafiki ya jinsia tofauti na yake hasa wa kimapenzi.
 
umesomeka vizuri sana
 
haya mambo huwa yanatokea... huyo jamaa kama kweli anampenda demu wake basi hiyo sio sababu ya kuachana... sisi wanaume smtyms ni ving'ang'anizi sanaa... Aendelee kumuelewesha tuu bila kuchoka.

ahsante kwa ushauri mzuri kaka nimemwambia aendelee kumuelewesha ila anasema anajuta sana kwa sababu huyo jamaa cmpenzi wake.
 
Mimi huwa siangalii demu wangu katumiwa msg ya aina gani... ila naangalia yeye kareply vipi??? ajaribu tuu kumwambia huyo tahira ni king'ang'aniza na kama ahamini basi wamcol wamsikie wote alikua anataka nini????
 
mwwwwaaaaaaaaah!!!!!!. mwambie um-blacklist haraka sana, huyo jamaa ni shetani
 
Mimi huwa siangalii demu wangu katumiwa msg ya aina gani... ila naangalia yeye kareply vipi??? ajaribu tuu kumwambia huyo tahira ni king'ang'aniza na kama ahamini basi wamcol wamsikie wote alikua anataka nini????

poa nitamwambia siku njema
 
Ila people gotta be careful sana na hizi biashara za SMS, maana zinatumika purposely katika kuharibia watu wenye mahusiano yao. Na si wanaume wala wanawake yaani ni kama lipepo fulani hivi.

Sawa sishauri uignore ushahidi wa SMS lakini usiufanye kama ushahidi toshelezi. Kwa case kama hiyo, sidhani kama mtu anaiba na yule mwizi anajua kuwa anaiba hawezi kutuma SMS usiku wakati anajua yuko na mwenye mali. So kam katuma kuna mawili:-
1. Amedanganywa kuwa yuko peke yake au
2. Ameamua kuharibu tu.
lakini kwa maprofessional Other Man/Woman hawezi hata siku moja kuharibu.
 
Kuna mambo magumu sana kuyelelewa kwenye mapenzi hasa kama si mapepe.
 
Huyu bwana nae kwenye cmu ya demu wake alikuwa anatafuta nini? Amfundishe tu hiyo tabia halafu kesho demu akipekua kwenye cm yake awe analalamika wakati kamfunza mwenyewe!
 
Haya mambo ndio kila siku huwa nasema,simu za wenzi wetu jamani tuziache,wewe msg imeingia simu ya mwenzio kabla yeye mwenyewe hajaisoma wewe umerukia,ndio mambo kama hayo sasa,na kama mdada anasema kweli basi ni coincidence.
 
Back
Top Bottom