Utamtambuaje mwanamke wa dar es salaam?

Utamtambuaje mwanamke wa dar es salaam?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
Ukiwa popote pale duniani, unaweza kumtambua mwanamke anayetoka jijini Dar es salaam kwa kumtazama tu...Utajuaje?

TUMBO : ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES SALAAM WANA MATUMBO MAKUBWA a.k.a VITAMBI... Si ajabu, comedian Mpoki wa Orijino Komedi katika moja kati ya comedy zake anasikika akimwambia mtu : " Ndo maana una tumbo kubwa kama wanawake wa Dar es salaam " ).

Badilikeni jamani, acheni hiyo michemsho na bia,...fanyeni mazoezi.
 
Ukiona hivyo ujue na wanaume wa Dar tunapenda wanawake wenye matumbo makubwa lol
 
We utakuwa umeenda Labor Ward Muhimbili na sio DSM Street.

Ukinionyesha wanawake wa Dar es salaam, watano wenye flat belly, nakupa shilingi laki tano za kitanzania..
 
nimegundua hilo pia ..... nadhani hawafanyi manual labor na misosi ina mafuta sana.
 
Moja wapo ya side effects za ARVs kwa wanawake ni vitambi au kuwa na matumbo makubwa wengi wao. Nenda care and treatment centres utaelewa.
 
Hii ni research fake, sidhani kama kuna justification yeyote kuhusu hili. Mtoa thread unatakiwa kuleta walau sample ili iwe rahisi kuona ukweli wako.
 
Moja wapo ya side effects za ARVs kwa wanawake ni vitambi au kuwa na matumbo makubwa wengi wao. Nenda care and treatment centres utaelewa.
ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES SALAAM WANA MATUMBO MAKUBWA a.k.a VITAMBI...
Daaah! Kwa maana nyingine hawa wote ni waathirika eeh?
 
Jamani leo mnakataa wanawake wenye ------?
Ni mwanamke gani mwenye liWowowo akose tumbo?
ili upate ---- lazima ule na mafuta yanayobaki huhifadhiwa kwenye tumbo na ----
Naomba msiwababaishe wakaanza kujikondesha na kuwa km wana Ukimwi
Kuna Wasukuma na Wanyakyusa wao wana maumbo original
Lakini kwa hawa wa makabila mengine acheni wajinywee supu na bia au chips na soda ili waja huko nyuma
Hakuna Mwanamke mwenye kitambi akakosa ----
 
Mmmh ama wanawake tuna kazi, mara tumbo mara wowowo mara ndevu sa sijui tufanyeje ili tupendeke machoni mwenu.:shut-mouth:
 
Back
Top Bottom