Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF kuna rafiki yangu kaowa wiki mbili zilizopita ila tatizo linalomsumbua na kumkwaza ni kua mke wake anapata maumivu makali sana wakati wa tendo na kibaya zaidi ni kua hafurahii tendo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bahari kitu kibaya,haiwezi aminika Bahari si km kwaya,unacheza ukicheka Bahari haina haya,kwa kile inachitaka Hii ni bahari gani? Kuna wanyama wakali,baharini watajika Wengine twala kwa wali,pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa..kwa mara ya kwanza naomba mniambie je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI au yanafanana.je unaweza mpenda mtu halaf ukawa huonyesh kumjali???msintukane naitaji kujua
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ki ukweli mimi nimetokea kumpenda dada ,,pja kutoka kwenye mtandao wa fb, na sio siri tunapendana sana kila siku tunaongea na cm kwasababu yko chuo na anatarajia kumaliza mwaka huu kaniambia kuwa...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
imekuwa kama biashara ya waganga wa kienyeji,biashara ya wachungaji na mapepo au mashehe na majini lol....almost inamuaminisha mtu pengine ambaye ni mzima kuwa ana kitu fulani au kuna forces...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani naombeni ushauri tumetembelewa na mdogo wake shemeji yangu dada mzuri kinoma kila wakati ananiraumu kwanini simleti geto kwangu niliko panga ili akapaona na ananitega kinoma jamani vipi ni...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
WIFE W:wonderful I :Item F:For E: Entertainment HUSBAND H:Handsome U:Useful S:Smart B:But A:At N:Night D:Danger
1 Reactions
7 Replies
2K Views
nakumbuka mwaka huo huyo binti alinipigia simu kuwa anaparty ya engagement kwao......nilimjibu nipo nyumbani likizo and wished her all th ebest,,,nilishare picha after likzo... huyu binti ana...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Jiran yetu leo amtimua mwanae wa kike kisa kutukanwa na bwana wa mtoto. Tusi ambalalo lilomfanya afukuze mtoto uyo ni.(siri kdogo)ili ni neno la mwisho kwa uyo jamaa--> Usimwogope uyo mwanajeshi,)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani mapenzi ni kitu cha ajabu sana, huyu binti kila nimwonapo iwe ni katika majukwaa ya kisiasa au mahari popote huwanajisikia faraja na kutamani kumsogelea japo nimwambie hisia zangu juu yake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
2 Reactions
621 Replies
46K Views
Jirani yangu amemtisha mkewe kumuacha kisa mke kamkataza kuwa karibu na mwanaume ambae anashukiwa ni shoga hapa mnapata picha gani? Apartment yao iko close na yangu, niliyasikia hayo mm mwenyewe
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Alianza kunitongoza kama masihalah nikamjibu nina wangu akasema tuwe marafiki tu basi ila akawa anakumbushia siku mojamoja kuhusu ombi lake,ananiletea zawadi,anashow care kwangu,anadai hapati...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
kumekuwa na kawaida ya wana love connect kutumia ID mpya kupost mahitaji yao. kama mtu unauhitaji huna sababu ya kujibana bana humu ,kwanza hata wanaokufahamu humu wanahesabika na hizo ID mpya...
9 Reactions
75 Replies
5K Views
Tusaidiane kutunza stara zetu kuokoa vijana katika jamii yetu!!! Happy Women's Day!! :A S-heart-2:to all JF Women
10 Reactions
34 Replies
11K Views
mimi ni kijana mwenye miaka 36 ninaishi dar. natafuta mchumba ambaye ametoka kwa bwana. nataka yule aliyeshindwa maisha ya ndoa. sichagui dini wala kabila lakini asiwe amejichubua, ufupi usizidi...
3 Reactions
79 Replies
7K Views
HELOW WANA JF NATAFUTA WAREMBO 2 WA KULA NAO WIKEND HII NITAWAFUATA WALIPO NA NITAWARUDISHA KIWANJA WANAWEZA KUCHAGUA pia,ALIYE SERIOUS kiss22love@gmail.com or aniprivate sms haraka wikend...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi...
2 Reactions
97 Replies
9K Views
Nakumbuka mwaka 2004 huko nchini Afrika Kusini kulizuka mjadala mkali sana kuhusiana na nguo za nusu uchi, hasa kwa wasichana wa shule. Mjadala huo ambao ulihusisha maoni ya wananchi wakiwemo wale...
7 Reactions
42 Replies
32K Views
Back
Top Bottom