mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Bahari kitu kibaya,haiwezi aminika
Bahari si km kwaya,unacheza ukicheka
Bahari haina haya,kwa kile inachitaka
Hii ni bahari gani?
Kuna wanyama wakali,baharini watajika
Wengine twala kwa wali,pale tunapowashika
Tena huwa ni halali,popote wanatajika
Hii ni bahari gani?
Bahari si km kwaya,unacheza ukicheka
Bahari haina haya,kwa kile inachitaka
Hii ni bahari gani?
Kuna wanyama wakali,baharini watajika
Wengine twala kwa wali,pale tunapowashika
Tena huwa ni halali,popote wanatajika
Hii ni bahari gani?