Atimuliwa nyumban kisa cm!

Atimuliwa nyumban kisa cm!

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Jiran yetu leo amtimua mwanae wa kike kisa kutukanwa na bwana wa mtoto. Tusi ambalalo lilomfanya afukuze mtoto uyo ni.(siri kdogo)ili ni neno la mwisho kwa uyo jamaa--> Usimwogope uyo mwanajeshi,) hanalolote) na nukuu kauli aliyosema mtoto wa kike: baada ya kipgo baba mi nahama sitaki kupipwa pigwa na wewe maana mi mtoto wa kike ninamambo yangu mbya yaidi ilneno je unataka kuninani......wewe au) je nikauli zuri ya uyu mtto jaman?
 
Kama dogo kasema hivyo kwa baba yake itakuwa kakosa heshima

Na kama kaondoka asijidanganye kama tatizo limekwisha
 
kidhadhi cha nyoka anafikiria huko alikoenda maisha ni mteremko, sanasana anaenda kufua vijeans vya huyo ----- wake,kupika na kupakua akichokwa anatupiwa virago vyake nje, amebalehe anadhani amekua hadi kaota mapembe mbona hiyo ni trela.Dunia itamfundisha.
 
huyo alitakiwa ampe laana hapo hapo ili aone maisha yalivyo
 
kidhadhi cha nyoka anafikiria huko alikoenda maisha ni mteremko, sanasana anaenda kufua vijeans vya huyo ----- wake,kupika na kupakua akichokwa anatupiwa virago vyake nje, amebalehe anadhani amekua hadi kaota mapembe mbona hiyo ni trela.Dunia itamfundisha.

Umemaliza best..thats the whole truth
 
hakutakiwa kumtamkia baba yake maneno kama yale, sometime ukiona una hasira sana jaribu kuzuia mdomo usiropoke bora uwe bubu hadi hasira ziishe.
 
unadhani kaanza leo huo ujeruri?

Ila jifunze basi kuandika vizuri, kama vila unagugumia.
 
Wakati wa kutoka home ukifika si wote wanao ondoka kwa kusindikizwa na wazaz... na kufanyiwa sendoff.
Ila kuheshimu wazazi ni amri ya Mungu wala si ombi.
 
Jiran yetu leo amtimua mwanae wa kike kisa kutukanwa na bwana wa mtoto. Tusi ambalalo lilomfanya afukuze mtoto uyo ni.(siri kdogo)ili ni neno la mwisho kwa uyo jamaa--> Usimwogope uyo mwanajeshi,) hanalolote) na nukuu kauli aliyosema mtoto wa kike: baada ya kipgo baba mi nahama sitaki kupipwa pigwa na wewe maana mi mtoto wa kike ninamambo yangu mbya yaidi ilneno je unataka kuninani......wewe au) je nikauli zuri ya uyu mtto jaman?

analaana huyo kizazi cha division zero na four.
 
Kongosho cm yangu nimenunua juzi ndio maana inanizingua kwenye maandishi kaka!
 
tena huyo baba amemkosea, angepiga mpaka amtoe meno...hana adabu kabisa..
 
Back
Top Bottom