Tofaut ya maneno haya..

Tofaut ya maneno haya..

4realy

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
78
Reaction score
16
Habari wana jukwaa..kwa mara ya kwanza naomba mniambie je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI au yanafanana.je unaweza mpenda mtu halaf ukawa huonyesh kumjali???msintukane naitaji kujua
 
mkuu kwani huwa wanakutukana humu ndani!
 
Mbona unaiandika hii mada mara mbili mbili...mods please unganisheni hii mada na hii Nisaidieni.
 
Back
Top Bottom