Mdogo wake shemeji yangu anajirengesha

Mlati

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
207
60
Jamani naombeni ushauri tumetembelewa na mdogo wake shemeji yangu dada mzuri kinoma kila wakati ananiraumu kwanini simleti geto kwangu niliko panga ili akapaona na ananitega kinoma jamani vipi ni mtafune
 
hata nkisema usimtafune ni kazi bure maana una uamuzi tayari wa kutafuna.
 
KIzazi cha nyoka ngono tu Lbda anataka kutembea tu ili ajue Mji?
 
Weka picha sio ohooo mzuri kinoma sie tutajuwaje?...weka picha kama ni mng'ooo au mburula flan tukuambie usichape...hivi incase unamdungua mimba ushafikiria majina na kaka au dadako yatakuwaje vile...na pia watoto wenu na wa kaka/dadako wataitanaje vile?
 
Jamani naombeni ushauri tumetembelewa na mdogo wake shemeji yangu dada mzuri kinoma kila wakati ananiraumu kwanini simleti geto kwangu niliko panga ili akapaona na ananitega kinoma jamani vipi ni mtafune

kuwa na busara bwana sio kila chakula kipitacho machoni mwako lazima kiliwe bhana vitu vingine visikufanye upoteze point kwa mpenzi wako khaa.Yaani inavyoonesha unaomba ushauri huku umesha.dinda wanaume wa bongo mnaudhi sana mna tamaa bila kujali athari ya tamaa zenu.
 
kadhi ipo,hata moja jumlisha moja wataka jf ikusaidie kujibu.
 
no comment.jpg
No comment,,,,,,,,
 
Jamani naombeni ushauri tumetembelewa na mdogo wake shemeji yangu dada mzuri kinoma kila wakati ananiraumu kwanini simleti geto kwangu niliko panga ili akapaona na ananitega kinoma jamani vipi ni mtafune

huyo mbona analiki sio ndugu yako bali ni shemeji yako tu.
 
Ametoka Mgaraganza nini?

Kaunga, unapajua hadi Mugaraganza hadi Kiganza! Uko pande gani weye?

Umemnikumbusha mbali; Mugaraganza ndio kijiji cha kwanza kumiliki basi, enzi hizo Leyland CD miaka ile tukiwa primary.
Nakumbuka lilikuwa limeandikwa Mugaraganza Oyeee!
 
Kuna mtalaam wa hiyo sector humu JF anaitwa HIMO mtafute atakushauri vizuri sana.
 
Ametoka Mgaraganza nini?

Kaunga, unapajua hadi Mugaraganza hadi Kiganza! Uko pande gani weye?

Umemnikumbusha mbali; Mugaraganza ndio kijiji cha kwanza kumiliki basi, enzi hizo Leyland CD miaka ile tukiwa primary.
Nakumbuka lilikuwa limeandikwa Mugaraganza Oyeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom