Ataka kumuacha mkewe

Ataka kumuacha mkewe

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Jirani yangu amemtisha mkewe kumuacha kisa mke kamkataza kuwa karibu na mwanaume ambae anashukiwa ni shoga

hapa mnapata picha gani? Apartment yao iko close na yangu, niliyasikia hayo mm mwenyewe
 
duh!na wewe kwa kupiga chabo, umejaariwa.mengine ulioyasikia ni yapi,tangu ulipoanza chabo?
Jirani yangu amemtisha mkewe kumuacha kisa mke kamkataza kuwa karibu na mwanaume ambae anashukiwa ni shoga

hapa mnapata picha gani? Apartment yao iko close na yangu, niliyasikia hayo mm mwenyewe
 
Tunapata picha kuwa huyo mume ni basha na ana husiana kweli na huyo shoga.
BTW 'kuwa karibu' unamaanisha nini? Kuwa majirani au kuwa na mazoea ? Maana wewe na mafumbo yako!
 
Thread kama hizi zinanitia kichefuchefu na hua sichangii....sorry kwa kuchangia hii...pp_uuuuuuuuuuf
 
Mhhhh! Boflo!!!! Ulikuwa unaandaa kupata chabo nini ndiyo ukayanyaka mazungumzo hayo!?

Jirani yangu amemtisha mkewe kumuacha kisa mke kamkataza kuwa karibu na mwanaume ambae anashukiwa ni shoga

hapa mnapata picha gani? Apartment yao iko close na yangu, niliyasikia hayo mm mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni basha, na anampenda sana Huyo rafiki yake wa kitu me kuliko makewe!
KIzazi cha nyoka!
 
Tunapata picha kuwa huyo mume ni basha na ana husiana kweli na huyo shoga.
BTW 'kuwa karibu' unamaanisha nini? Kuwa majirani au kuwa na mazoea ? Maana wewe na mafumbo yako!
swali zuri hilo.
 
Tunapata picha huyo jamaa alikuwa hampendi mkewe kwa dhati. Yaani uache mke sababu kakukataza kuwa karibu na mwanaume mwenzio, tena ambae ana tabia mbaya?

Anamtafutia sababu my wife wake tu
 
Back
Top Bottom