This is how a civilized working class lady texts you
"Hi honey. I'm just out of work, heading for lunch now. Wish I could see you today. Take care, good day
Now this is how 2nd year university...
1.I cannot give you the formula for success, but I can give you the formula for failure--which is: Try to please everybody. .....Herbert Bayard Swope 2."Weak people talk and do not act, strong...
Wasalaam wapendwa.......
Niko hapa home baada ya kutoka kijiweni kutafuta riziki nimejipumzisha.,mara namuona mama mtoto wangu anatoka kuelekea sokon(sio mbali na home) huku simu kaiacha mezan...
Some people will see one girl here; another one there; then other one there, and then they will go and see another. Is it a kind of shopping you are doing? Are they something which is being sold...
Wewe ni kijana ambeye umeshafikia umri wa miaka (23) na ni mvulana uliyekuwa na mpenzi wako tangu shule na mliaidiana mengi katika maisha yenu na kubwa zaidi ni kuja kuoana,ila baada ya kumaliza...
Basi kama si kuudhi ni kukera, hawa wanaume fake wenye tabia ya kudai mali/vitu walivyowanunulia wapenzi wao baada ya kuachana Inaboa sana.
Binti mzuri ulimpenda mwenyewe, ukambembeleza kwa...
Mimi jina langu naitwa John na natafuta rafiki atakayekuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi kwa jinsi muda unavyokwenda na jinsi mambo yenyewe yatakavyokuwa. Sijielezi saana maana ntaondoa...
Wadau mtu mzima yamenikuta, kuna wifi yenu na shemu wenu nilikuwa na bifu nae kidogo na ye ndio mkosaji, sasa baada ya wiki kuja kum'bamba na kuhold sim yake nmekuta anachat na mshkaji, ila...
Habari zenu wana cc wote,kuna baba ni jirani yangu,huyu jamaa kaachana na mke wake miezi 6 iliyopita na hakukawia sana akaoa mke mwingine na mke wa kwanza alizaa nae 2 kids na bado ni wadogo 5 yrs...
Hay mods
Natumai mko fit na mko serious kwa mambo yenu au shughuli za maisha yenu kwa ujumla
Blue monday hii nimeonelea nije na kakitu kadogo sana kwa ajili yenu wana jamvi wenzangu
Nimeshindwa...
Mambo vipi kijana mwenzangu? (hata usio kijana) naona uko poa na unaendelea kulibandika viraka taifa letu pendwa. Leo mwenzako kuna jambo nime liona ktk jamii yetu inayo tuzunguka, ambalo...
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu,
nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao
akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa...
Jaman wana JF wamtafuta rafik niliepotezana nae tangu mwaka 2009 mwez 2, 2kiwa katika gar akiwa anafika kwa dada yake ambae alikua ni mwl wa kirakala girls morogoro na mpk sasa cjui km huyo dada...
Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora
Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia?
Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia...
I must admit, Nairobi is blessed with some pretty ladies. Some are good, while some others Well. In this exclusive post, you will be guided on how to date a lady from Nairobi.
1. Do not...
Mambo vipi watu wangu wa ukweli! Hope mko poa, kwanza nitoe shukrani kwa Best wishes za Birthday yangu, Mungu awabariki sana! Back to the topic: Ndoa nyingi zimevunjika, yaani wanawake wengi...
Kwa uzoefu wangu, mwanamke ni kiumbe ambaye hawezi kukiri kuwa katembea na mtu mwingine hata kwa mtutu wa bunduki, yupo radhi kufa ila sio kufungua kinywa, labda umkute on spot na tena umpige na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.