ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hay mods
Natumai mko fit na mko serious kwa mambo yenu au shughuli za maisha yenu kwa ujumla
Blue monday hii nimeonelea nije na kakitu kadogo sana kwa ajili yenu wana jamvi wenzangu
Nimeshindwa kukaa nacho moyoni kwa weekend nzima kwani nimeona kuwa si busara
kutokuwashikirisha jambo hili ambalo linachanganya na kuleta tofauti baina ya mtu na mtu
Wapenzi wangu marafiki zangu hivi ni kwanini mtu anakuwa hana imani na mwenzake siku hizi?
na ni kwanini mwanadamu amepungukiwa na uaminifu siku hizi, ni kitu gani kimepelekea kuwa
hivyo kwa wanadamu wa sasa, Mtu akitaka kumwajiri mtu mpaka amchunguze kwanza, ukoo,
kabila, mkoa, rangi, ama kuahakikisha kuwa mtu huyo hakuwa na skendo za uarifu zamani ,
na mahali anapoishi, na mambo mengine yafananayo kwako ndipo aridhike kwa kiasi kumwajiri.
Ni kwanini watu wamekosa kuwa waaminifu jamani? jamani tabia hii si nzuri yakutokuwa mwaminifu
Tisa - kumi katika mahusiano jamani uko ndo usiombe kabisaaaaaaaaa, utatamani ardhi ipasuke ili
ujifiche na hii dunia ya tatu heee! mwee! mma po ngafu lelo! hapa nimedurufu kwa Bujibuji,
yaani UAMINIFU UMEKUWA 0+0=0, yaani siku hizi wana ndoa wamekuwa hawaaminiani kabisa,
hata kama ni mcha Mungu nambari wani, uaminifu umekosekana kwa nini jamani? Kwanini uaminiki
kwa wenzako au mwenzako? Kwanini unamwasi Mungu kiasi hicho? kwanini unaendelea kutokuwa
mwaminifu kwa wenzako?. Hivi watambua kuwa Mungu hafurahishwi na mtu afanyaye dhambi
kwa siri ilihali akijua anachofanya ni dhambi na machukizo mbele za Mungu?
Mara nyingi uaminifu unatokea pande za WANAUME wanakuwa si waaminifu kwa wake zao, wengine
wamediriiki kusema kuwa samaki mmoja hatoshi ngoja nionje na pweza nione uzuri wa pweza
ulivyo. Hayo ni maneno wasemayo wanaume, hivi Kwanini unaondoa uaminifu au kuaminika kwa
mwenzi wako? kwanini wewe MWANAUME unakuwa na nyumba ndogo kwani huyo mkeo uliyenaye
hakutoshi? Na kama hakutoshi kwanini ulimuoa? Wengine wanasema kuwa hawawezi kuonesha uaminifu
kwa wake zao kwani hukiwaonesha tu itakuwa.......................... haka hapa sisemi mie Lady, ni maneno
yao kwani nimeshafanya tafiti na kuchunguza baadhi ya wanaume na ndomana nimeona nitoe hoja hii kwenu
mwenye macho na masikio ya kusikia na kuona aone jinsi gani umekuwa kikwazo kwa wenzako kwa kukosa
UAMINIFU na kuleta matatizo ndani ya familia.
ONYO:
Marafiki zangu nawaomba na kuwasihi tuwe mfano wa kuigwa, hebu tuwe waaminifu hata kwa jambo dogo,
ndipo tutakuwa waaminifu hata kwa mambo makubwa. kama umekosa uaminifu hata punje ya haradali sasa
nani anaweza kukuamini wewe (how can believe you?)
sitatoa kopi kwa mtu yeyote ila ujumbe umewafikia samahani kama mtakuwa mmeboreka
Nawapenda marafiki zangu
ciao

Last edited by a moderator: