Inawezekana kweli

Inawezekana kweli

Mr.kichuli

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
29
Reaction score
6
Wewe ni kijana ambeye umeshafikia umri wa miaka (23) na ni mvulana uliyekuwa na mpenzi wako tangu shule na mliaidiana mengi katika maisha yenu na kubwa zaidi ni kuja kuoana,ila baada ya kumaliza masomo yenu yeye akaenda kusomea ualimu na wewe ukapata kazi kwa muda huo mkapotezana kama mwaka mmja lakini mkiwa mnawasiliana,ishu ikaja binti alipo maliza chuo kumbe alikua tayari anaujauzito wa miezi mitatu afu akawa anakuficha mpaka ukaja kuambiwa na wenzake,na kila ukijaribu kumuuliza anakataa na ukitaka muonana sababu zinakuwa nyingi,ndipo ukapata taarifa kuwa kajifungu bila uwoga ukamuagiza best yako wa kiume na zawadi kibao za mtoto lengo ni kumuakikishia kuwa unafahamu kila kitu baada ya hapo ikabidi akuambie ukweli na akisema kuwa ilikuwa baati mbaya na anadai mfunge ndoa nae na akaomba jina la mtoto umpe wewe..NAHITAJI MAWAZO YENU WAKIKE KWA WAKIUME MNGEFANYAJE HAPO.
 
Acha uzuzu. Utoe jina kama nani? Waache watu walee watoto wao. Chunga sana kijana!
 
kama una mpango wa kufungua kituo cha kulelea watoto wa wanaume wenzako nyumbani kwako go on.
 
hiyo mimba ilikuwa ya kwako au........? na kama ilikuwa yako........kwa nini akufiche.......?
 
baba wa mtoto kakosa jina la kimpa mwanae????

Sasa hapo ndo wengi wanajiuliza but tukaona kunaweza kukawa na sababu zilizo fanya mpaka akaamua kumbwambia ampe jina labda kumlaghai ili aönekane kuwa anamthamini bado endapo amecheza rafu au hana time na baba mzazi wa mtoto!
 
Hapo pagumu kidogo. Je hiyo mimba ilikua ya kwako? Je wewe unampenda manake unaweza kusema huyo mdada hakufai kisa kazaa nawewe bado unampenda kwa dhati . pia jiulize kama wanaume na wao wangekua wanabeba mimba wewe ungebeba za wangapi. Mimi naona pima mwenyewe na muulize kwanini alikua anakuficha kuhusu huo ujauzito na mwenye mtoto ni nana hasa. Pengine atakupa sababu za kutosha , na ukiridhika nazo basi hapo asihukumiwe kama anakupenda na wewe unampenda uamuzi uko kwenu. Mtoto asiwe kikwazo bora yeye amezaa je wanaotoa mimba watakuambia wametoa mimbangapi kabla ya kukutana na wewe .
 
Wewe ni kijana ambeye umeshafikia umri wa miaka (23) na ni mvulana uliyekuwa na mpenzi wako tangu shule na mliaidiana mengi katika maisha yenu na kubwa zaidi ni kuja kuoana,ila baada ya kumaliza masomo yenu yeye akaenda kusomea ualimu na wewe ukapata kazi kwa muda huo mkapotezana kama mwaka mmja lakini mkiwa mnawasiliana,ishu ikaja binti alipo maliza chuo kumbe alikua tayari anaujauzito wa miezi mitatu afu akawa anakuficha mpaka ukaja kuambiwa na wenzake,na kila ukijaribu kumuuliza anakataa na ukitaka muonana sababu zinakuwa nyingi,ndipo ukapata taarifa kuwa kajifungu bila uwoga ukamuagiza best yako wa kiume na zawadi kibao za mtoto lengo ni kumuakikishia kuwa unafahamu kila kitu baada ya hapo ikabidi akuambie ukweli na akisema kuwa ilikuwa baati mbaya na anadai mfunge ndoa nae na akaomba jina la mtoto umpe wewe..NAHITAJI MAWAZO YENU WAKIKE KWA WAKIUME MNGEFANYAJE HAPO.

Mapenzi ni uvumilivu,kama ameshindwa kuvumilia,akasubiri mwaka mmoja mgegedane hapo huyo binti hakufai,ni malaya,na hawezi badilika,chapa lapa kijana.
 
Sasa hapo ndo wengi wanajiuliza but tukaona kunaweza kukawa na sababu zilizo fanya mpaka akaamua kumbwambia ampe jina labda kumlaghai ili aönekane kuwa anamthamini bado endapo amecheza rafu au hana time na baba mzazi wa mtoto!

Kama anasikiliza zilipendwa asikilize nyimbo ya chidumule(mlimani park),neema,neema kazuga na jamaa,lkn mwisho wa siku jamaa aliyezaa nae akamchukua.kama jamaa kashamgegeda dem wako hadi kumzalisha jua huna chako hapo,wanawake hawazai kwa bahati mbaya,tunaopata bahati mbaya ni sisi wanaume.
 
Hapo pagumu kidogo. Je hiyo mimba ilikua ya kwako? Je wewe unampenda manake unaweza kusema huyo mdada hakufai kisa kazaa nawewe bado unampenda kwa dhati . pia jiulize kama wanaume na wao wangekua wanabeba mimba wewe ungebeba za wangapi. Mimi naona pima mwenyewe na muulize kwanini alikua anakuficha kuhusu huo ujauzito na mwenye mtoto ni nana hasa. Pengine atakupa sababu za kutosha , na ukiridhika nazo basi hapo asihukumiwe kama anakupenda na wewe unampenda uamuzi uko kwenu. Mtoto asiwe kikwazo bora yeye amezaa je wanaotoa mimba watakuambia wametoa mimbangapi kabla ya kukutana na wewe .

mh! Hilo nalo neno.
 
Back
Top Bottom