Its true ila wajuaje kuwa umpendaye naye amefall kwako?i mean the moment you are madly in love (hiyo once umependa) does it necessarily mean he/she is in love with you too? ni ngumu kwani wewe kufall kwake once haiguarantee naye kuzama kwake penzini once kuwe kwako wewe, aweza fall once kwa someone else so ukifeel kumpenda someone just do it and dont expect smthing in return
Mwanadamu hana Upendo, kwa kuwa kila penzi lina kiini. kila apendae ana kitu anatafuta kwa yule ampendae. lengo lake likitimia, basi penzi linahamia kwingine. so "We are actors of true love"
Aliyesema talaka ni mwiko alielewa kuwa mtu hupenda na kupendwa (kupendana) mara moja tu, akiacha/akiachwa/akiachika kinachofuata ni mazoea au majaribio tu
True love happen once only. Utasikia mara nyingi sana mtu anasema nimekutana na mpenzi wangu wa mwanzo yeye kaolewa nami nimeolewa tumeendelea na uhusiano. Unadhani shida ni nini hapo. Ni kwa sababu walipendana na ile bond kuiondoa inakua ngumu ndio maana wanaendelea na uhusiano. Unaweza kuwaita majina yooote tuu lkn ukweli unabaki paleple you only love once. Ile deepest love happen once only so kama umependa akili kichwani kwako lkn hapo ingefaa uwe mwangalifu kuna kupenda na kupendwa . Unaweza ukapenda usipendwe and vice versa so sijui inakuaje tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.