mahaba ya nyumba ndogo....miaka 6....

mahaba ya nyumba ndogo....miaka 6....

nosspass

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
5,859
Reaction score
4,873
Bandugu nna hakika woote mko mswano.... Hebu naomba tumsaidie huyu ndugu yetu...

Juzi j2 jioni, kama kawa.. tulikuwa tunaharibu kipato..baridi 1 moto moja... kuna rafiki yangu mmoja alijumuika nasi ni mchangamfu mcheshi,,, story zikachanganya pale huku jamaa alikuwa bizee kuchat kwa sana... kikao kilianza kupungua tukabaki wa2 2...jamaa akaniuliza... umeshawahi kuwa na nyumba ndogo,, nilicheka sanaa,, then nikamwambia duh.. mie nadonoa na kusepa,, kumiliki nooo.... familia inanitegemea,,, akauliza unawezaje? nikamwambia roho ngumu tuu kaka..... akanambia kaka nimeganda mwenzio... nika dem from mwaka 2006,, wakati my first bon anaona dunia, na sasa ninae wa pili anafikisha 3.5yrs. we met mtandaoni start as friends,,, ikaenda mpaka tukaanza mamboz, na wakati huo kila mmoja alijieleza kiukweli kabisa.. kwa maelezo ya mshakaji......she told him kwamba mmewe was passed away, left her with 2kids,, na wako shule 14, 12 yrs.
They understand each with their rules..(sikutaka kuzijua) ambazo waliafikiana....he said ndani ya 3 yrs, ndo mkewe alipofuma first sms, ikawa tifu la kawaida...then jamaa ... kwa mfume wake dume akauwa soo kimya kimya, yule dem bahati nzuri, she is well educated,, got nice job.. kwa maelezo yake....he said what that gal want is happyness only.... nothing else....but 1 thing is....siku zote wanawake wameumbwa hivyo kupewa ni lazima hata akiwa nacho...... muda ulikuwa umesonga jamaa akaagiza na vitafunio...nadhani mmenielewa hapo ... mbafu sa mburu.. kiruuuu....uharibifu wa kipato uliendelea kwa sana...he support her as usual.... kama men tulivyo...na alimweleza how her husband died... wanajuana kila kitu...ikatokea kipind yule dem akaomba waseparate... he agree.. but dem mwenyewe akashindwa,, wakaendelea,,, na tena hata ndomu hawatumii tena....live mchangani....ila walienda kupima wote,, na walikuwa safi...then 2010, dem akaomba again waseparate,,, after long conversation between them... haikuwa only 1 day.... mazungumzo yakaishia gizani...they move on... actual yule dem hata 40yrs hajafika yuko kwenye 38 by now, na jamaa 41yrs by now... migogoro ya mahabani ni kawaida,, last yr wife wa jamaa akafuma sms... kuchunguza ni ile no.... ya last time... wife kaanzisha boonge ya tifu home...yuko vema jamaa,,, standard life tuu, usafiri na nyumba kajenga na miradi ya hapa na pale,, na mkewe ni mjasiriamali wa kweli....kama kawa mfume dume ukatake place....wakasafiri na familia kwenda kupunguza machungu for long.... mbaya zaidi huyu jamaa akisafiri hata na mkewe,, demu wake na yeye huko huko,, different hotel.. na jamaa anawaaga ankwenda labda kuangalia anything... kumbe anaenda kujinyoosha....he knw how to treat his wife...kwa maelezo yake........ SASA mwaka huu wamekubaliana kwa kukubaliana waseparate,,, it was the 14 feb, valentine day,,,, the had fun for last time,, just for bye bye.....akampa tiketi aende mbali angalau kwa 2wks... wasiwasiliane kabisa....ilibidi niche kwanza... coz niliona kama ni hadithi vile.....nikamuuliza imekwendaje?....... jamaa akasema kaka tumeshindwa na ndo iko moto moto sasa,,, anaweza hata kuomba ruhusa kazini kwao,, akashinda ofsin kwa jamaa kutwa nzima... mwanamke anasema it cant be....kajaribu kashindwa....kila anaemuona hafanani na jamaa yake.... jamaa kawa mdogo.... nilipomuuliza na wewe uko kwa wapi....kasema hata thijui.... kwa muda tuliokuwa pamoja.... kumuacha naona ntakuwa sio muungwana.. kama yeye aonavyo.... sijawa na washauri kaka yeye... c wajua wenzetu hawa mambo yao huwa wanaambiana.... but mimi wewe ndo wa kwanza kukutel.... na wife kaanza noma kuwa anahisi tumezaaa,, haiwezekani tuko pamoja for that long,,,, japo jamaa anakanusha kinoma......mfume dume kama kawa.....

Nilichomshauri mimi kama mimi.......amchukue huyo demu... waende wote church watubu kabisa,, na wakeshe maombini... then kila mtu asambaratike... wasiwasiliane kabisa,, akimkumbuka mwenzie... asali kimoyomoyo....wataweza........

Ndugu zangu wana JF, naomba msaada wenu na nyie tuwasaidie hawa ndugu zetu.....
Amen

NAWAKILISHA HOJA:
 
duh!! hii kali....yeye aendelee tuu na huyo mwanamke...chenye mwanzo hakikosi mwisho ...ipo siku itaisha tuu ila hatujui itaisha kwa usalama au lah
 
siku my wife wake akikuta
sms kwa mara ya tatu ajue hana ndoa
asione mke anasaundika akadhani ni ----!
hawezi kuachana nae kwani alizaliwa nae heee!

 
Hayo mambo yapo sana tu dunia hii.


Kuna jamaa mmoja ana uhusiano na mke wa mtu nayeye ameoa. Wana uhusiano tangu 2008 mpaka leo. Hana dalili za kuacha maana kila kunapokucha wanakuwa kama wameanzisha uhusiano wao jana.
 
Kama yeye mwanaume kweli amwambie mkewe kiuwazi nina nyumba ndogo 2 nazipenda na siwezi kuziacha. Kwa nini ampe shida mkewe ya mawazo. Ajue uvumilivu unamwisho kuna siku mke atachoka. Na ni laana kuidhulumu familia yako. Upendo na mahitaji anayopeleka nyumba ndogo anaidhulumu familia yake ni laana kubwa. Siku akimaliza kujenga na kusomesha watoto wa kidumu akatimuliwa ndo atatia akili watoto wakidumu watakuwa wanamaliza chuo wake ndo wako primary, huyo mwanaume hopeless kabisa hajitambui, soon atavuna ujinga wake.
 
duh!! hii kali....yeye aendelee tuu na huyo mwanamke...chenye mwanzo hakikosi mwisho ...ipo siku itaisha tuu ila hatujui itaisha kwa usalama au lah

Nakuunga mkono mzee haina haja ya kudhulumu nafsi yako furaha yake kuisha yataisha tu hayo yamewakuta wengi tu ilimradi uhakikishe unatoka salama atachoka na wewe utachoka tu halafu kila mtu ataipotezea kiaina
 
swala la kupenda nje ya ndoa ni udhaifu wa mtu na kwa wanaoamini kupitia dini ni dhambi lakini mtu anapoangukia katika kupenda dini heshima yako vyote mtu anasahau ila kwa swala la mke wa mtu mh!!!!!! maana tatizo mapenzi hayajui umeoa au huna mpenzi wewe ndio unajua mapenzi hayajui hili kwahiyo inabaki ni nguvu ya moyo wako kulishida hilo jaribu
 
Hapa sitoi mshango, na mimi pia nahusika. Yangu mbaya zaidi demu ni Binamu yangu. Mi nipo Mwanza yeye Dar Huwaga nafunga safari kumfuata kwa ajili ya kumgegeda. nimejaribu kuacha nimeshindwa. Natumia safari za kiofisi kwenda Dar kwa ajili ya kuonana nae. Lakini niko mbioni kuachana nae
 
Ukitakaa kuachana na nyumba ndogo fumaniwa - Asprin

sikuhizi hata ukifumaniwa mapenzi yataendelea tu mfano yule mama aliyekuwa anagegedwa toilet akadumbukia humo bt sikunyingine tena akafumaniwa akiwa vichakani na mwanaume huyohuyo aliyekuwa anamgegeda chooni..
 
Last edited by a moderator:
Wngine sio mapenzi kivile. Wanakutana siku wanataka uasherati tu baada ya hapo hamna sms za ohh I love u ooh baby sijui naomba vocha wala nini. Wakitaka tena wanakutana wanamaliza hivyo hivyo kwa miaka kibao.
 
jamaa akasema kaka tumeshindwa na ndo iko moto moto sasa,,, anaweza hata kuomba ruhusa kazini kwao,, akashinda ofsin kwa jamaa kutwa nzima... mwanamke anasema it cant be....kajaribu kashindwa....kila anaemuona hafanani na jamaa yake.... jamaa kawa mdogo.... nilipomuuliza na wewe uko kwa wapi....kasema hata thijui.... kwa muda tuliokuwa pamoja.... kumuacha naona ntakuwa sio muungwana.. kama yeye aonavyo.... sijawa na washauri kaka yeye... c wajua wenzetu hawa mambo yao huwa wanaambiana.... but mimi wewe ndo wa kwanza kukutel.... na wife kaanza noma kuwa anahisi tumezaaa,, haiwezekani tuko pamoja for that long,,,, japo jamaa anakanusha kinoma......mfume dume kama kawa.....

Nilichomshauri mimi kama mimi.......amchukue huyo demu... waende wote church watubu kabisa,, na wakeshe maombini... then kila mtu asambaratike... wasiwasiliane kabisa,, akimkumbuka mwenzie... asali kimoyomoyo....wataweza........

Ndugu zangu wana JF, naomba msaada wenu na nyie tuwasaidie hawa ndugu zetu.....
Amen

NAWAKILISHA HOJA:

Mwambie jamaa 'asilimu'...aoe mke wa pili!
 
Wngine sio mapenzi kivile. Wanakutana siku wanataka uasherati tu baada ya hapo hamna sms za ohh I love u ooh baby sijui naomba vocha wala nini. Wakitaka tena wanakutana wanamaliza hivyo hivyo kwa miaka kibao.

he said wako mapenzini kweli kweli,,, ila jamaa anatia huruma mno......kwa kifupi anajuta...
 
Mie namshauri akimbie haraka kabla hayajamkuta makubwa.

Achape lapa!
 
Hivi mmeumbwaje nyie wanaume? Kwann hamridhikagi?.....asa kinachomshnda kumuacha huyo kimada kitu gani! Msitake kusema ni sababu ya mapenz coz anayempenda kashamuweka ndan
 
Back
Top Bottom