Namtafuta rafiki.....!

Namtafuta rafiki.....!

Mizzle87

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
93
Reaction score
6
Jaman wana JF wamtafuta rafik niliepotezana nae tangu mwaka 2009 mwez 2, 2kiwa katika gar akiwa anafika kwa dada yake ambae alikua ni mwl wa kirakala girls morogoro na mpk sasa cjui km huyo dada yake atakua bado ni mwl wa shule hiyo au alishaama. Anaitwa Pricela Boniface Ngonyan wa magomen dar na baba yake ni afsa upelezi wa jeshi la police. So km yumo humu naomba anipm au km kunaamjuae ani pm contact zake. Akhsanten sana na samahani kwa usumbufu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mi namtafuta Saada Ngoshani wa Upanga. Nilipotezana naye mwaka '97.
 
na mimi namtafuta rafiki yangu wakike jina grolia tulipotezana mbeya mwaka2007 alielekea morogoro samahani kuingilia nafasi hii anayemfaham aniPM
 
Mimi namtafuta Prof. muhongo tokea akate umeme sijamuona siku nzima!
 
na mimi namtafuta rafiki yangu wakike jina grolia tulipotezana mbeya mwaka2007 alielekea morogoro samahani kuingilia nafasi hii anayemfaham aniPM

Grolia nani?
Maana na mie naitwa Grolia na nilipotezana na mkaka mmoja hv mweupe tukiwa ndani ya basi,
namba yake ya simu ni 0784 546933.
Kama ni wewe, basi ni mimi.
I love u.
 
Sijaielewa hii post , aliyeipost mpaka waliochamgia?? kama vipi lianzishwe jukwaa la kutafutana
 
mimi namtafuta tina zoazoa aka play girl,tuliacha vidudu au nursery school!
 
Du namfahamu ameolewa jirani yangu Kitunda emeolewa na mwanajeshi wa jeshi la wananchi kikosi cha Anga pale Airwing
 
mimi namtafuta Kaundime.......ni miaka takriban sana sijaonana nae.....mara ya mwisho nilisikia alikuwa anaishi Unga LTD.....baba yake alikuwa anaendesha Volvo.....kwa anayemjua tafadhali anijulishe.....
 
Namtafuta mtoto wa sekioni kitojo nmemsahau jina lake. the last time tumeonana tulikuwa standard one changa primary school Tanga mwaka 1992.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Grolia nani?
Maana na mie naitwa Grolia na nilipotezana na mkaka mmoja hv mweupe tukiwa ndani ya basi,
namba yake ya simu ni 0784 546933.
Kama ni wewe, basi ni mimi.
I love u.
niliwaona siku hiyo hata mimi nilkuwa kwenye hilo bus, si huyo jamaa alikuwa amevaa suruali na viatu vyeusi?
 
Back
Top Bottom