Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

^^ Linapokuja suala la kufunga uzazi,wanaume wengi hawataki Je,tatizo ni nini? Nimesema hivyo baada ya kupata habari ya mwanamke ambaye ameaga dunia jana Kutokana na kosa la kibinadamu la...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ni jamaa ninaeishi nae nyumba ya kupanga. Anamke tena mzuri tu na mtoto wa kama miaka mitatu hivi. Kwa ujumla ni mpenzi wa movi za x. Nazani sababu kaoa huwa ananunua na kuziangalia na...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wana jf. Hakika nina kisa kilichonitokea hadi sasa sijui lakufanya.. Nimeanza mapenzi na msichana tangu mwaka 2008 nikamsubiri hadi kamaliza shule . Alipomaliza kidato cha nne bahati...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 20, nimeathirika na ninaishi kwa matumani. Bahati mbaya nilizaliwa na hiyo hali kwani mama na baba yangu ndiyo walikuwa wameshadhirika nilipozaliwa. Kwa...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
wadau nini kinasababisha hii?
0 Reactions
89 Replies
23K Views
Nimekimbia FB, nimekuja JF, lengo na madhumuni natafuta mtoto mzuri wa kuoa, lakini asiwe na tabia za ki-FB, FB.
0 Reactions
215 Replies
13K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Its Sunday and a Sacred day, so people i know im gonna press your buttons but please remember its sunday and stay positive despite how...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadada wa siku hizi bwana mi nashindwa hata kuwa-define, eti mdada nimemlaghai kaingia mpaka ndani ya 18 na baada ya ku-apply skills za kutosha mwenyewe akaamua kutoa mzigo. Mwisho baada ya mechi...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Natafuta mchumba awe na umri miaka 24 had 29 kabila mkinga,mmbena,mnyakyusa na mhehe aliye tayar aniPM. Npo serious contact 0768175497
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtakufa bure kwa kutembea na wajukuu zenu. Leo nilikuwa nasimamia kidogo biashara ya familia (Nyumba ya wageni) Punde kibabu kikaingia na kabinti mjuzi wa mambo. Walipo fika wakawasha Tv wakawa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
namhitaji mdada mzuri mwenye tabia njema umri 25-30 mwenye utayari wa kuolewa asiwe mlevi,mbea,mchawi,awe mkristo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Vitendo vya Ibrahim Mohamed Anti Suzy havikuwapendeza watu wengi hasa wanaume. Alipingwa mitaani, barabarani na maisha yake yakawa ya kujificha mithili ya panya. "Niliwahi kupanga nyumba karibu...
1 Reactions
20 Replies
22K Views
Hii nimeitoa sehem flani... Jamaa Katika pilika zake za hapa na pale akiwa stend kuna dada kadondosha simu akaiona akamuita daah dada alivyomsonya dah mtu mzima akaaibika akaikota ile simu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu. Leo nimeonana naye alichofanya ni...
1 Reactions
106 Replies
10K Views
Kilio cha mapenzi;hivi ni akina nani unafikiri wanaongoza kuvuruga wengine...wanawake wanawavuruga wanaume, au wanaume ndio wanaowavuruga wanawake zaidi?
1 Reactions
42 Replies
3K Views
CUF yaing’ang’ania Chadema kuhusu ushogaJUMAPILI, JUNI 02, 2013 07:51 NA MWANDISHI WETU LICHA ya vyama vikubwa viwili vya upinzani, CUF na Chadema kuombana radhi kutokana na mvutano ulioibuka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
^^^ Kila mmoja wetu amesikia tabia hii ambayo inakua kwa kasi sana katika dunia Lakini pia tatizo ambalo linafanywa siri katika jamii nyingi.Pamoja na sababu nyingi zinazotolewa kukuza tatizo...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari hii nimeikuta kwenye mtandao wa global publishers, waandishi wa habari za udaku...maswali yangu kwa wanajamvi ni : 1. Ni kweli viumbe wa namna hii wapo hapa kwetu...
0 Reactions
28 Replies
39K Views
Habari gani wana JF, hivi juzi kati nilijiunga ktk blog flani(Badoo) ambayo ipo kwa ajili ya kuwakutanisha watu na marafiki mbalimbali au wapenzi.... sasa juzi kuna msichana aliejitambulisha kwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…