Nimepewa invoice ya kumnunulia matairi ya Prado, Jamani wadada!!!

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, nimnunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?

Nimtukane ama!!!!!!
 
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, ninunulie matairi alafu tutazungumza

k za hivo maji...anajua ukionja hurudi tena
 
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu.
Leo nimeonana naye alichofanya ni kunipatia invoice ya kumnunulia matairi manne ya gari yake.
Aliniambia unanipenda, ninunulie matairi alafu tutazungumza
Nauliiiizaaaa hhhiiiii nii haki milioni moja kasoro mimi nitaipata wapi?

Nimtukane ama!!!!!!

Umezoea vya kunyonga vya kuchinja uwezi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Chezea majangiri wa mjini weye!!!!!!!!!!!!!!Acha bana
 
Umnunulie Acha kuweweseka, isitoshe anamaanisha umnunulie lady pepeta 4, wee unakata mauno huku.
Jiamini, utamla
 
hahaha! umenkumbusha mbali. Kama huwezi acha tu ndugu, utaumia tu maana ukishapita utawaza kama hio milion kasoro ina thamani sawa kwako na huo utamu. Hehehe ndo hapo majuto mjukuu.
 
mbona huyo cheap sana sasa ungeambiwa uweke mjengo chini ingekuwaje
 
hahaha! umenkumbusha mbali. Kama huwezi acha tu ndugu, utaumia tu maana ukishapita utawaza kama hio milion kasoro ina thamani sawa kwako na huo utamu. Hehehe ndo hapo majuto mjukuu.
Nimesha acha ndugu yangu, lakini hii aikubaliki
 
Maji ukiishayaavulia nguo shurti.....kazi
ni kwako...
 
Huyo keshaanza kukubalia taratibu kwa sabab anajua kuwa huwez nunua hayo matair,nenda nae pole pole utampata tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom