Kiburi, Big Ego, Kujiona na Woga ndiyo main reason hatufanikiwi kupata chaguo letu la moyoni!


lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,614
Likes
12,218
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,614 12,218 280
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Its Sunday and a Sacred day, so people i know im gonna press your buttons but please remember its sunday and stay positive despite how much i push ya demons!!!!!!!!!!!

Wengi wetu mara nyingi inatokea unampenda mtu flani sanaa sanaaaaaaaaa, japo unajitahidi kuzuga zuga but from the darkest chembers of your heart you cant wait to hold him/her! Mwili unatamani! Nafsi inatamani! Ila sasa most of us HAVE A BIG EGO! You love her and you think (To be precise wish) she loves you too but Ya Ego wont let you tell her shit! Unakufa nalo tu moyoni.

Ego is just 1 side of the story! Fear is Ego's twin! You cant just tell him/her! What if hakufeel? What if akikukataa na kutangaza? What if you are not her standards? You will be an embarrassment to your self. Heri nusu shari kuliko shari kamili! You give yourself 1000 reasons to nurse your fear and inabilities.

The story aint over YET! Kiburi ndo kubwa lao! Umetoka na mtu mkakorofishana kidogo, bado unamfeel ile ile lakini kiburi tu huwezi kujishusha yaishe!!!!!!!! Watu wengi wanaachanaga kwa sababu za kijinga jinga tu ila kubwa ni Kibri na kujiona zaidi kuliko furaha yako! Roho inaumaje sasa kumkosa mwenzio ila Kibri hakikuruhusuuuu!

The Ocean wants to stay Calm but the Waves wont have it! The tree want to sand still but the Wind wont have it! In the end mioyo yetu inacrave attention of some people but EGO, FEAR N KIBRI wont have it!!!!!!!!!!

Thinking critically EGO, FEAR, KIBRI are just FEELINGS AND NOTHING MORE BUT FEELINGS!!!!!! Hence they are Illusions that you manifest to delusion your self!!!!!!! On the other hand Kipochi manyoya na Muhogo wa Jang'ombe ARE THE REAL DEAL!!!!!!!!!!! Real staff! You see and touch hence they are REAL as REAL can get. !!!!!!!!!!

So if you like that guy/girl call her, talk to her, tell her ! REMEMBER DONT LET FEELINGS GET BETWEEN YOU AND THE REAL THING!!!!!!!!!

Much Love!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
M

Mlati

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
207
Likes
6
Points
0
M

Mlati

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
207 6 0
Mkuu hongera kwa point yako watu wengi sana wanaogopa kuwatogoza watu wanao wapenda sababu kubwa watatoswa wakati unapo omba kitu chochote tarajia majibu matatu hapana, ndio, au subiri kukataliwa au kukubaliwa ni changamoto ya kawaida
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,066
Likes
3,630
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,066 3,630 280
Lara one in deliverance period. Thanks God
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,420
Likes
14,572
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,420 14,572 280
Mmmmmh....
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,614
Likes
12,218
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,614 12,218 280
Mkuu hongera kwa point yako watu wengi sana wanaogopa kuwatogoza watu wanao wapenda sababu kubwa watatoswa wakati unapo omba kitu chochote tarajia majibu matatu hapana, ndio, au subiri kukataliwa au kukubaliwa ni changamoto ya kawaida
The sad part is huwezi kujua exactly jibu gani utapewa mpaka utakapo omba!!!!!!!!!
 
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
4,002
Likes
745
Points
280
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2012
4,002 745 280
Wajua navyokuzimia upstairs eehh!! You got brain dude!!

Turudi nacho sasa, Kwa picha nilinayo kwako kubwa la maadui, ingekuwa napanga move majibu si tayari nnayo?Kama sio cha mbavu ni nini saa! Miracles doesn't exist.

The sad part is huwezi kujua exactly jibu gani utapewa mpaka utakapo omba!!!!!!!!!
 
A

ayanda

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,342
Likes
218
Points
160
A

ayanda

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,342 218 160
haya bwana.

ila mimi kwangu ni 50/50. Kiburi nusu huku unyenyekevu.
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,810
Likes
23,237
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,810 23,237 280
Hahahaaaaaaaa! Inakupa moyo umvuka viunzi n you are the Man!!!!!!!!!!!
inatia raha after sex
unamtazama yuko so tired and naked
na unakumbuka ujeuri wake lol
 
mutu ya watu

mutu ya watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2010
Messages
213
Likes
5
Points
35
mutu ya watu

mutu ya watu

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2010
213 5 35
nani asubiri kibri, zamaani washavuta kipya, kibri hakisaidii saana, ukishaona ni mtu material kuwa 50/50 unapunguza kibri kidogo au siyo
 
majany

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Messages
1,225
Likes
74
Points
145
majany

majany

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2008
1,225 74 145
Yaan kuna siku huwa unaamkia upande mzuri hadi nakupendajeeeee!!!!ILA KICHAA KIKIKUPANDA SASA...HATA HUTAMANIKI.......Umeieleza vizuri saana....:bange:
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,614
Likes
12,218
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,614 12,218 280
inatia raha after sex
unamtazama yuko so tired and naked
na unakumbuka ujeuri wake lol
NEGRO PALEASEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe huwaga mnatuchora eeeeeh! Kama nakuona unawaza you knocked the shit out of the sister!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,810
Likes
23,237
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,810 23,237 280
NEGRO PALEASEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe huwaga mnatuchora eeeeeh! Kama nakuona unawaza you knocked the shit out of the sister!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kila mtu na taste yake
wapo ambao mwanamke akiwa jeuri na kiburi na appetite ya sex inaisha
wengine ndo hamu inaongezeka
the rare breed lol
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,614
Likes
12,218
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,614 12,218 280
Yaan kuna siku huwa unaamkia upande mzuri hadi nakupendajeeeee!!!!ILA KICHAA KIKIKUPANDA SASA...HATA HUTAMANIKI.......Umeieleza vizuri saana....:bange:
Easy Boy! Easy! Those are some serious allegations! Tatizo watu mnapenda niwe naangalia vitu kwa perspective yako binafsi! Nikitwist kidogo tu unaniona mamluki!!!!!!!!!!!

In the end i cant please everyone!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,614
Likes
12,218
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,614 12,218 280
kila mtu na taste yake
wapo ambao mwanamke akiwa jeuri na kiburi na appetite ya sex inaisha
wengine ndo hamu inaongezeka
the rare breed lol
The hader the hunt! The sweeter the meat!!!!!!!!! Ujue nyama ya kufuga na kukamata bandani sio tamu kama ya kuwinda ujue!

Mwenyewe if i have sex with a boy who is all over me, Kiss ma a.ss n all hainogi kivileeee kama ukikutana na Bad Boy! Not everybody's man! Yule hata hukutarajia! Kwa kupima mwanzoni ukaona ni kina kirefu! Yaaani i enjoy every moment to the fullest because who knows inaweza kuwa ndo mwanzo na ndo mwisho!!!!!!!

(And people dont get judgey Hakuna alie msafi!!!!!!!!!!)
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
wenye masikio na wayasikie, lol!
 

Forum statistics

Threads 1,274,340
Members 490,676
Posts 30,508,930