Nyodo zingine hazifai kabisa nyie wadada..!!!


Loy MX

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Messages
1,259
Likes
17
Points
135
Loy MX

Loy MX

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2012
1,259 17 135
Hii nimeitoa sehem flani...
Jamaa
Katika pilika zake za hapa na pale akiwa stend kuna
dada kadondosha simu
akaiona akamuita daah dada
alivyomsonya dah mtu mzima
akaaibika akaikota ile simu na kuondoka nayo
baadaye
akampigia akamwambia yeye ni
mwenye simu jamaa akamuambia na
mimi ndiyo yule uliyemsonya
stendi yule sister akamwomba msamaha
akamwomba amuelekeze mahali alipo
ili amrudishie simu.......sijajua jamaa alichukua hatua gani.
 
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
1,883
Likes
55
Points
145
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
1,883 55 145
acha kurudia stori kwa ID nyingine mkuu
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,038
Likes
5,354
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,038 5,354 280
lakini ni ukweli hawa jamaa zetu wengine wanaringa sijui nyodo, na ukiangalia hawana cha kulingia, ukichungulia kwa ndani wengine wanakaa vyumba vya giza...!
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,783
Likes
5,320
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,783 5,320 280
Ndo maana nimeandika nimeitoa sehem flan.. Nisamehe mkuu sikujua kama tayari ipo huku..
Huko ulikoitoa nao wameiba humu. Ilijadadiliwa sana humu wiki kadhaa zilizopita
 
Loy MX

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Messages
1,259
Likes
17
Points
135
Loy MX

Loy MX

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2012
1,259 17 135
Huko ulikoitoa nao wameiba humu. Ilijadadiliwa sana humu wiki kadhaa zilizopita
Kama una appreciate ya ulikoitoa nadhani kuiba sio neno sahihi.. Sorry sikujua hilo Mkuu
 
saudari

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
2,658
Likes
17
Points
135
saudari

saudari

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
2,658 17 135
Mimi nilijua umeleta mwendelezo wa hiyo story kumbe ni yale yale.
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
87
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 87 145
hizi hadithi za chekechea zitaisha lini?
 

Forum statistics

Threads 1,274,697
Members 490,736
Posts 30,521,321