Mwenye sifa zifuatazo awe mwa adventista msabato..awe mrefu kiasi..rangi yoyote umri 18 hadi 22...elimu awe amemaliza vidato sita na kuendelea....mcheshi...na mwenye kujari...kabila lolote awe na...
Mm ni mwajiriwa nahitaji mke wa kuoa kwa wanaoishi Dar tu umri wangu ni miaka 38 .Awe mkristo, rangi yeyote awe mrefu mwenye umbo zuri ,umri miaka 20-32,mwajiriwa au mfanyabiashara naomba ni PM haraka
Wakuu natumaini wote niwazima wa afya. Kweli nimeamini rangi nyeusi ikawa nyeupe. Ninampenzi wangu nimedumu nae zaidi ya mwaka mmoja, anajiheshimu na pia anatabia nzuri, tatizo la mpenzi wangu...
Hivi Mtu mapenzi yanakuwaje na Mtu aliyekuzidi Umri miaka 33 na wazazi wako ambao ukute wamemzidi zaidi ya mmeo wanajisikiaje .Life with no good mchochomeo kwa kweli Mie siwezi ninapenda Pesa...
Ngono kwa mdomo husababisha maambukizi ya magonjwa / saratani
Mdomo ukliwa umeathiriwa na bakteria kufuatia kutumiwa kama njia ya kufanya mapenzi
Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku...
HABARI WANA JAMII. MIMI NI KIJANA WA KIUME NINAEISHI MOSHI NAJITOKEZA KUTAFUTA MWANAMKE AMBAYE TUKIELEWANA ANAWEZA KUWA MKE WANGU WA MAISHI
SIFA ZANGU NI:
Elimu: chuo kikuu
Urefu: wa...
Ivi wanawake wote wanatoa ule mkojo wakati wa kusex.?kuna rafiki yangu yeye huwa anatoa maji mengi sana alafu ni wamoto sana.je hii ni hali ya kawaida au maumbile ya wanawake wote?.
Miaka inaenda wakuu sipate wa ubavu wangu,niko katika wakati mguu naitaji ushauri nifanyeje nimpate wa moyoni,kila mwanamke naye mpata ananiacha kimya kimya bila hata mawacliano yaani kimya kimya...
Mimi ni mwanamume niliye na miaka zaidi ya 40, ninaishi na kuendesha shughuli zangu hapa jijini dar. Nina watoto wawili wakubwa na ni mkristo. Tangu nimeachana na mke wangu nimekaa muda sasa...
^^
Nimeamini nyumba zetu ni nzuri nje lakini yanayoendelea ndani ni siri inayoumiza.
^^
Binti mmoja ambaye ni kati ya miaka 24 hadi 26 hivi,ameamua kuondoka kwao na kuishi kwa kupanga baada ya...
Wanajanvi nashindwa kuelewa umbea kwa mwanaume inasababishwa na nini kwa kweli..mida si mirefu kuna dingi kanikuta nakula zangu fegi tartiiiibu akanisalimia fresh then kaenda kwa tajiri kumdokeza...
Nimedate mdada of my age (26), ni kama mwezi mmoja umepita toka aniambie kuwa ana mtoto mmoja. Kiukwel tunapendana sana na sitaki kumcheat wala kumpotezea muda wake. Napata mawazo ya kumwoa in...
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb...