Umbea kwa wanaume asili yake wapi?? Faida yake nini?? Hii imekaaje?

Texas Tom.

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
510
273
Wanajanvi nashindwa kuelewa umbea kwa mwanaume inasababishwa na nini kwa kweli..mida si mirefu kuna dingi kanikuta nakula zangu fegi tartiiiibu akanisalimia fresh then kaenda kwa tajiri kumdokeza . Kwa kua tajiri etu ni mtasha, akamshika mkono kamleta hadi kwenye desk langu akamwambia "nijuavyo mimi huyu jamaa anakula bangi sasa unachonieleza kwamba anakula fegi yaelekea upo outdated kabisa" Jamaa kapata aibu ya mwaka!
 
Kwahiyo unaji-proud kula Bange.
:bange::bange:
Stay tune utayajua yakuyajua.
 
Heri ukutane na wanawake 10 wambea kuliko mwanaume mmoja mmbea..... Ni noma!

Ila bange mbaya mjomba acha
 
Back
Top Bottom