Mahawara hawaachani eti...

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Mara nyingi sana nimesikia wengi wakisema eti mahawara hawaachani! wazoefu tupeni ukweli ili tuanze kujihami mapema dhidi ya ma-Xs!
 
Ndugu mleta mada,maneno mahawara na X's yana uhusiano upi?

umepoint sehem muhim sana nadhani kuna tofauti,kwa tafsir isiyo rasmi na navyoelewa hawara ni mpenz ambae yupo tayar kua second au nyumba ndogo au mnakua mnaridhishana kimapenz bila kuingia kwenye uhusiano ulio serious, na mara nyingi hamuachan mnapoteana tu,mkikutana tu mnakumbushiana.
wakat X anakua mpenz wako kabsa ambae ulikua una malengo nae ila mkaachana na mara nyingi hawa wakiachana wanachukiana.kwan inakua kama mlisalitiana kusameheana inakuaga ngumu kidogo
 
Inategemea mliachana kwa lipi.Kama ulimuacha mwenzio kwakuwa kuna sehemu umeahidiwa ndoa,then ukaenda kuolewa na baadae ukagundua kuwa hakuna jipya sana zaidi ya ile sherehe ama una share interest nyingi na yule uliyemuacha kuliko huyu mwandani wako nadhani nirahisi kurenew kauhusiano kamwanzo ili kupata kale kaflavour ulikokamisi kama jamaa hatojali.
 
kiukweli kabisa haka kasentensi sikapendi hata kidogo.....
kila nikikasoma kananitia hasira

Asante kwa kunijibia swali aliloniuliza Evelyn Salt, sasa unaweza kuendelea kumjibu ni kwanini haka kasentensi kanatia hasira....

Sorry for any inconvenience.
 
Last edited by a moderator:
umepoint sehem muhim sana nadhani kuna tofauti,kwa tafsir isiyo rasmi na navyoelewa hawara ni mpenz ambae yupo tayar kua second au nyumba ndogo au mnakua mnaridhishana kimapenz bila kuingia kwenye uhusiano ulio serious, na mara nyingi hamuachan mnapoteana tu,mkikutana tu mnakumbushiana.
wakat X anakua mpenz wako kabsa ambae ulikua una malengo nae ila mkaachana na mara nyingi hawa wakiachana wanachukiana.kwan inakua kama mlisalitiana kusameheana inakuaga ngumu kidogo
Heaven on earth soma hapa
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mleta mada,maneno mahawara na X's yana uhusiano upi?

umepoint sehem muhim sana nadhani kuna tofauti,kwa tafsir isiyo rasmi na navyoelewa hawara ni mpenz ambae yupo tayar kua second au nyumba ndogo au mnakua mnaridhishana kimapenz bila kuingia kwenye uhusiano ulio serious, na mara nyingi hamuachan mnapoteana tu,mkikutana tu mnakumbushiana.
wakat X anakua mpenz wako kabsa ambae ulikua una malengo nae ila mkaachana na mara nyingi hawa wakiachana wanachukiana.kwan inakua kama mlisalitiana kusameheana inakuaga ngumu kidogo

kuna tofauti ya hawara na X! sasa wewe unamaanisha nini?

mi mwenyewe kama kuna kitu kimeclick katika mind yangu........,

lakini hivi X na hawara ni sawa

Asante kwa kunijibia swali aliloniuliza Evelyn Salt, sasa unaweza kuendelea kumjibu ni kwanini haka kasentensi kanatia hasira....

Sorry for any inconvenience.

hayo maneno hata mimi sikuyawaza sana kitofauti, ndo maana nilisema kasentensi sikapendi.
Kama definitions ndo hizo tulizoambiwa nakubaliana kuwa hawana sababu ya kuachana, labda kama wamechokana na kuamua kila mtu kuchukua hamsini zake....
lakini watu wengi wanachukulia kama X, kuwa maX hawaachani, hapo ndo ninapokachukia hako kasentensi, kwangu hakajawahi kuwa na ukweli
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom