Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Kwa miaka 29 na bado uko single ni sawa na hauna hata girl freand? Uwezo ninao ila maadili ya dini yangu ndo mana nmetulia bado.
Ameeen!!Kuwa na msimamo huo huo, pia kama dini yako inaruhusu kutokuoa unaweza kwenda kulitumikia kanisa.
Mkuu hapo ktk Bold mbona utuuliza sisi halafu unajibu mwenyewe. Hata hivyo bado sijaelewa unataka ushauri gani? kwa maana kuishi sio lazima uwe na mtu bali ni maamuzi tu.Kwa miaka 29 na bado uko single ni sawa na hauna hata girl freand? Uwezo ninao ila maadili ya dini yangu ndo mana nmetulia bado.
Ndio nna mpango wakuoa.
Hongera mkuu!
Nakushauri usiwe na papara, umri wako bila kufanya mapenzi mimi nakupa thumbs-up!
Wala mtu asikudanganye eti utakosa uzoefu, kwangu sidhani "kufanya mazoezi " ndo kupata uzoefu, vuta subra, omba Mungu akupe ubavu wako then utafurahia game ndani ya ndoa..... usitusikilize sisi tulioanza o'level, hamna faida yoyote, tumeumizana roho, tumebadilisha na kujaza vi'noah' na hamna la maana tulilovuna.
maadili ya dini yako ndo yamekwambia usitafute mwanamke uoe.....,
fanya fasta uujue ulimwengu mwingine wa raha........,