Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Nimeamini nyumba zetu ni nzuri nje lakini yanayoendelea ndani ni siri inayoumiza.
^^
Binti mmoja ambaye ni kati ya miaka 24 hadi 26 hivi,ameamua kuondoka kwao na kuishi kwa kupanga baada ya baba yake mzazi,kumtaka kimapenzi kwa muda mrefu.
^^
Binti huyu alinieleza haya baada ya kuwa ameapa kuwa wanaume wote ni mashetani,na kuwa hataolewa kamwe.
Pamoja na jitihada za kumsaidia aondokane na mtazamo huo kuzaa matunda kiasi,binti huyu anasimulia kile anatamka 'ushenzi' wa wanaume kuwa baba yake amekuwa akifanya matendo ya kimapenzi na mfanyakazi wake wa ndani,na yeye amenusurika kubakwa na baba yake mara kadhaa.
^^
Nilipodadisi kujua mama yake,anasema nini,alijibu hajui lolote na hakuwahi kumwambia.Na tena hata alipoamua kuhama,mama yake analaumu kuwa binti yake amekuwa malaya Lakini kilichomo ndani ya moyo wake ni chuki dhidi ya baba yake.
^^
Swali ambalo bado najiuliza,,ni kweli tumefika mahali tunashindwa kudhibiti miili yetu? Makovu haya tutayatibu vipi? Inaumiza.