Sikutaki tena diana,huna shukrani, nilijitahidi kukupa kila kitu ili uridhike,wewe ukahadaika na dunia,ni mwanaume wa aina gani usiyemjua diana??,nimevumilia uchafu wako nimechoka,kama hii ndio...
Enough is enough...
Dem mzuri kishenzi, anafanya kazi CRDB...jamaa yake ndio kanipokea ofisini mwaka huu January wkt naanza kazi, he is more than a brother to me, hadi kanishirikisha kwamba ana...
Hello sweeties, I am here again. How is your life out there? To me, so far so good.
We are in our 6th year of matrimonial life. I'm thinking of doing something I don't know yet to surprise my...
Taarifa za kitaalamu zinadai wanaumme tunapochukua dogodogo na kuachana na wale wa saizi yetu tunawasababishia kukataa tamaa ya kuzaa na hivyo kujikita kilaini kwenye MENOPAUSE.
Yabidi tuwe na...
1. Mi huwa si mtu wa kujisifia sifia saana nkiwa na gal,najhd kumfny mazur yang ayaone mwnyw na km kunisifia anisifie mwnyw.
2.Huwa najtahd sn kumantain nice&impressive personal appearance...
Watu wangu wa nguvu!! Naomba leo niulize hawa watoto wa Rais wa Marikani ( Barrack Obama) wanasoma saa ngapi maana kila siku wao wapo kwenye ziara na baba yao na je, watapataje ma-boy friend kama...
Nii hvi juzi tuu imetokea,kuna Dada anaishi karibu na ofis yangu.Hyu dada alipenda kunipiga mizinga,akiniomba kias cha pesa nampa,mambo vyepe,misosi,dinner kama kawa lkn mii ckua na mmaind...
Hbr wana JF kufuatia baadhi ya ushauri ambao mlinipa mtoto Maria ashaanza kuja kwenye lane
Nimechat nae FB nikamueleza yale ya moyoni tayari lakini bado haja tick (hajakubali) kkatika maongezi...
natoa angalizi tu kutokana na uzoefu wangu.wanaume mkifika chuo kuweni makini na mabinti wanaotaka muishi wote kwa nyumba sababu wanakuwa kimaslahi zaidi uweze kumuhudumia kuanzia malazi.chakula...
Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda...
Jamani mi kuna swali huwa najiuliza inakuwaje mwanaume amedumu na mpenzi wake zaidi ya mwaka then
anamvisha pete na kila mtu anaona kwa maana hiyo hakuna atakaye msogelea mwanamke huyo ikiwa...
Wakuu heshima kwenu,
Kumekuwa na mjadala mzito hapa sehemu ya kupatia kipato kati ya makundi haya mawili ya wanaume, ambao wako kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa( hii inahusu zaidi familia za...
Naomba msaada wenu mume wangu anacheat nifanyeje?
Mbaya zaidi na watu ambao wengine kawatambulisha kwangu,na ilifikia hatua nilipokwenda jifungua alileta mpaka ndani. Nikiuliza tatizo nini...
Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana...
Mimi ni msichana wa miaka 23, katika maisha yangu ya mapenzi nimejikuta natongozwa sana na waume za watu au mwanaume ambe yupo kwenye mahusiano , jambo hili limedumu sasa kwa miaka 3 yani hadi ma...
Kijiji hicho kipo pembezoni mwa Bwawa hili la Mtera
Hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoani Arusha ambapo nilipata mapokezi mazuri kutoka kwa wadau wa Arusha Wing na baadaye nilielekea Mkoani...
KINACHOMFANYA MWANAUME AKOROME NA KULALA BAADA YA TENDO NI MAUMBILE NA SIYO HIARI YAKE
Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali...
Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.