shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Jamani mi kuna swali huwa najiuliza inakuwaje mwanaume amedumu na mpenzi wake zaidi ya mwaka then
anamvisha pete na kila mtu anaona kwa maana hiyo hakuna atakaye msogelea mwanamke huyo ikiwa ni maana ya hiyo pete sijui ndo kifunga uchumba wanavyookiita.
swali langu ni hili umemvisha pete mdada wa watu mwaka wa 1 unaisha, wa 2 unaisha, wa 3 heee hakuna hata dalili ya kuoa au hata kuweka ndani eti unajipanga maisha yakae sawa mwishoni dada wa watu ana approach 40 akitembea na pete ya uchumba hivi huwa mnafikiria nn kuzibia riziki wenzenu kama humtaki mwambie pengine bahati yake ipo inamsubiri.
mbaya zaidi unakuja kumuacha unaoa mwimgine LOL
Wakaka wa wa MMU naomba tuelezane kidogo shida ni nini hapo
nawakaribisha
Mr Rocky Erickb52 @Exellence Mentor kipenzi changu@kiwatengu watu8 Bishanga
wifi Lady doctor mje pande hizi pia

Last edited by a moderator: