MENOPAUSE: Kumbe tunapochukua dogodogo tunachangia...........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,173
Taarifa za kitaalamu zinadai wanaumme tunapochukua dogodogo na kuachana na wale wa saizi yetu tunawasababishia kukataa tamaa ya kuzaa na hivyo kujikita kilaini kwenye MENOPAUSE.

Yabidi tuwe na huruma na wale wa rika letu na tuache kuwanyanyapaa na kuwaachia maumivu makali.

[h=1]'Cradle snatchers' cause menopause, says biologist[/h]

Michael-Douglas-and-Cathe-010.jpg

Michael Douglas and Catherine Zeta Jones. Prof Rama Singh argues that the male preference for young mates has led to the menopause. Photograph: Jim Spellman/WireImage
 
hiyo tafiti kama kuna ka uongo kamepita kidogo (kijana wa kiume na bibi mzungu ndo kunaamsha popo barabara,na binti kigori na babu mzungu ndo anamrudisha 18! hakuna kulala,sasa apo how ndugu mleta mada?
 
Taarifa za kitaalamu zinadai wanaumme tunapochukua dogodogo na kuachana na wale wa saizi yetu tunawasababishia kukataa tamaa ya kuzaa na hivyo kujikita kilaini kwenye MENOPAUSE.

Yabidi tuwe na huruma na wale wa rika letu na tuache kuwanyanyapaa na kuwaachia maumivu makali.
Sasa Ruta mbona hao rika letu walikuwa wanatusumbua tukiwa O level wanasema hawatembei na wanafunzi, wao wanachukuliwa na wenye kazi zao na fedha zao. Nadhani ule msemo kutesa kwa zamu una-apply hapo. Nadhani wapo wanawake ambao hawapewi mateso na wenza wao, hawa ni wale walioutumia wakati wao vizuri, na kufanya choice nzuri. Wale ambao wanateswa ni ili yale maneno yatimie Malipo ni humuhumu duniani, lazima kuna sababu ya wao kuteswa. hahaaha........
 
hakuna mwanamke ambaye hatapita menopause, wote ndio njia yetu, sema kila mtu na muda wake, kama makunyanzi, mvi nk. ila kuna dawa za kuchelewesha. Ukiniambia wanaoacha kufanya sex, mara kwa mara wanaishiwa na hamu kabisa nitakubaliana na wewe, hio pia ni applicable kwa wanaume, kadiri unavyokitumia ndivyo kinavyodumu
 
BIG POINT andate sote twavuna tulichopanda!
 
Kumbe ndio maana nshapatwa na menopause?

Hivi nikitafuta ka under 20 menopaise itayeyuka?

Lakini atakuweza? Tafauta saizi yako menopause itafunga domo lake!
 
hakuna mwanamke ambaye hatapita menopause, wote ndio njia yetu, sema kila mtu na muda wake, kama makunyanzi, mvi nk. ila kuna dawa za kuchelewesha. Ukiniambia wanaoacha kufanya sex, mara kwa mara wanaishiwa na hamu kabisa nitakubaliana na wewe, hio pia ni applicable kwa wanaume, kadiri unavyokitumia ndivyo kinavyodumu

Kitunze kikutunze. lol!
 
najikutaga na ugonjwa kukunja mabint wadodogo yaani napenda akiwa amejaa njia panda ya kwenda ulaya..

kuna wakati najiuliza kwa nininapenda sana mabnint wembamba

Halahala nao wasije kukukwida chupi siku moja. Usiwaletee masihala hao
 
Back
Top Bottom