Huyu kweli ananipenda au ananichuna tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu kweli ananipenda au ananichuna tu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Inno laka, Apr 9, 2012.

 1. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Okey..'mpango mzima n hv wana mm nina mdashost wangu mmoja yupo..'college moja hv pand za Mosh,kilimanjro..'nimekuwa naye kwa mda mrefu xaxa mara nying yeye kunitafuta labda mpaka awe nashda 2.'ndo mm ananijua!! hv kwel hyu m2 anamapenz ya kweli anakaa hata wk mbil bila kunitafuta cku akinipigia cm utasikia anashda na k2 flan hv ndo kwel mapenz yamekaa hv?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ndio maana unachunwa, hata kuandika tu hujui?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndio. . Mapenzi ndio yamekaa hivyo.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Unachunwaaaaa shtukaaaaaaaa mangi.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  konnie...
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Huyo anakunyonyoa taratibu
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Mapenzi matamu hayo.
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Umechelewa sana kushtuka mjomba!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mambo vipi?

  naboreka kweli mtu akiandika xaxa badala ya sasa, sioni mantiki yake zaidi ya kuharibu lugha tu.

   
 10. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Ujinga mtupu, unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivyo. Kwa taarifa yako kama hujakamata BUNYE ndio hulambi tena na utachunwa kwa sana na ujinga wako
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Umekaa ki FB ndo maana unachunwa utabaki mifupa mitupu.
   
 12. k

  kabye JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu chapa lapa. kama kweli anakupenda mwambie aje Ukamuo iyo stop engine kwanza acha kuwait mkuu.

  ukishindwa kufanya yote mpime mwambie una matatizo fulani akutumie elfu 80,000/=, uone moto wake, apa mjini kaka kuwa makini.........
   
 13. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  akili kichwani kwako mjomba......!! na huwa ukimwambia labda huwezi kumsaidia shida yake huwa ana-react vp? Face the truth man, halafu huo uandishi wako unanichukiza mno, hivi kwa nini uandike "xaxa" badala ya "sasa", huo ni ushamba!!
   
 14. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona huyo kawaida tu hata hakuchuni sana?yaan kila baada ya wik mbili,kweli unabahat sana maana mie huchuna kila baada ya siku mbili tu na nafikiria kupunguza siku za kusubiri.
  nakushauri uongeze bidii ya kutuma pesa angalau apunguze shida alizonazo
   
 15. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  anakuthamini yani wewe ni kimbilio lake. ukipenda boga penda na ua lake. unataka akutafute kila siku? mi wangu hata miezi miwili inaisha.kama unataka mawasiliano ya usiku na mchana muoe.
   
 16. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  poa..''
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kakufanya wewe buzi lake, shtuka mjomba hamna kitu hapo......
   
 18. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  hahahhahahahahahh umenichekesha sana.....wonders shall never end-in nigerian voice.
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Si aliniona buzi, kunibebabeba kama kiroba,...... Dogo wewe ni buzi. Kuna mshikaji mmoja alikuwa na demu wa dizaini hiyo kila akinusa tu demu lazima abinuke sarakasi kama jamaa anakamtambo ka kufyatulia mkwanja!!!!

  Alichokifanya ni kumtolea mbavuni tu.
   
 20. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Khaaaa!
   
Loading...