warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Sikutaki tena diana,huna shukrani, nilijitahidi kukupa kila kitu ili uridhike,wewe ukahadaika na dunia,ni mwanaume wa aina gani usiyemjua diana??,nimevumilia uchafu wako nimechoka,kama hii ndio zawadi ya upendo wangu wa dhati kwako nashukuru.ila kumbuka hii ni dunia diana na imeshaanza kukufunza,ulitaka maisha ya juu,ulithubutu kulala hadi na vikongwe upate pesa,ona ulivyonyauka kwa ukahaba,nasema tena sikutaki diana,we rudi kijijini ukaanze maisha mapya,mimi sikutaki#dirty diana