Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,234
Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala kichwa wazi anasumbua sana.Na hata nikikutana na gf wangu nikamaliza mambo lakini bado vilevile tu.....Yaani hadi mimi najiogopa.Wadau hili ni tatizo au? Je mkiwa na tamaa kiasi hicho(Kama mnakuwa nazo) what is the easiest solution...manake naaibika mwenzenu