Surprise nyingine noma . Ona hii .
Nimekuwa nikimchukulia kama rafiki yangu kwa mda mrefu, siku moja kaniambia tukutane sehemu fulani ana maongezi nami. Kwa kuwa ni mtu namfahamu na...
Everyone Has A Different
Story: A poor boy was in love
with a rich man
daughter .One day the boy
proposed to her and the
girl said Hey! Listen, your
monthly salary is my daily hand...
^^
Uchumba wa muda mrefu bila kujua hatima ya baadae huku wakati ukizidi kuzama magharibi.
...
Uchumba wa mbali kijiografia huku habari za hivi na vile toka kwa watu zikileta mashaka
...
Mchezaji maarufu kutoka Brazil Ronaldo De Lima amejingiza kwenye bishara ya ngono baada ya kugombania nafasi ya kununua umiliki wa gazeti la Playboy nchini kwa kwa Brazil.
Playboy ni jarida...
ilikua katika shule ya thomas high school nilipokua form 6
msichana huyo alikua ni rafiki yangu tu na si mpenzi kutokana na mkuu wa shule kumtaka na kumfuatilia mda mwing aliwah kuniona nae mara...
A young mosquito went out flying
for the first time in its life. The
father asked, "How does it feel?"
The mosquito replied, "It was GREAT!
Everyone was clapping 4 me. The father replied, "They...
Hello dear members. Jamani nina babangu anaumwa takriban miezi mitano sasa. Shida ni kwamba maji na hewa yamejaa kwenye mapafu hafu yanamsababisha kukohoa kwa sana na kushindwa kutembea, yaani...
Jaman,hivi ni kweli kuwa jf huwez kupata mke? mim najitokeza tena,nahitaji msichana mwenye umri wa miaka 18-25,elim sio tija sana bali awe na shughuli maalumu yani ana uwezo wa kuongeza kipato ktk...
There's danger in loving somebody too much,and it's sad when you know it's your heart you cant trust,
There reasons why people don't stay where they are, baby sometimes love just ain't enough...
SABABU ZINAZOFANYA MTU KUWA NA WIVU MKUBWA
Inafahamika kabisa upendo bila ya wivu unakuwa siyo upendo,
na kila mmoja akijua kuwa mpenzi wake hana wivu basi humtilia mashaka sana na kuhisi...
HIZI NDO SABABU ZA MWANAUME/KIJAN KUPOTEZA UWEZO WA KUZAA-KUTOPATA MTOTO
Vijana ambao bado wana mawazo ya kuongeza familia wakati mwingine hushiriki katika tabia fulani hatari si tu kuhatarisha...
Habar ya j3 wana jamvi! Polen kwa uchovu wa wkend!
Nakumbuka ni takribani miaka 5 sasa nikiwa nafanya kazi kama papaa chalii mkoni Arusha. Nilichagua kupangiwa kituo cha kazi Arusha ili niwe...
Soma kisa hiki kisha utajibu kama unampenda mama yako au la!
Siku moja dada fulani alianza kumwambia mama yake,
"Mama mie sikupendi, uso umekunjamana, sura yako mbaya, wewe sio mzuri kama...
habari wanaJF
mnamo 2008 nlikuwa pale tazara training nikaona wafanyakazi pale wakinawa kutumia mchanga. i tried it and viganja vyangu vilikuwa really smooth for a while. leo nimekuwa nikijiuliza...
Heshima wana JF;
Hil jambo la kulipa fadhila kwa kuingia katika mahusiano na mhisan au kuamua kuoa/kuolewa mhisan japo humpend lakin kisa alikusaidia jambo fulan maishan.
Kuna dada mmoja...
Wana jf,kwa uchunguzi mdogo nliyofanya kwa zaidi ya vijana 100 imenithbitishia kua vijana wanakaa muda mrefu bila kuangalia sehemu zao nyeti. Asilimia kubwa ya uchunguzi wangu umeonesha kua...
Nimepokea sms hii kutoka kwa Tutor
Hi! Mama mzazi anaumwa sana, anapumulia kwenye mashine ya oksijen, nikumbuke kwenye sala Mungu amponye mama yangu mzazi. Niko safarini kuelekea Bukoba...