Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Uchumba wa muda mrefu bila kujua hatima ya baadae huku wakati ukizidi kuzama magharibi.
...
Uchumba wa mbali kijiografia huku habari za hivi na vile toka kwa watu zikileta mashaka
...
Uchumba wa kuchunguzana sana na kisha kujuana baada ya kusaidiana kuziba mapungufu, kila mmoja anaanza kufikiria jinsi ya kutoweka
...
Uchumba ambao mwenzako anagundua wewe unampenda saaana kuliko anavyokupenda
...
Uchumba ambao unajua umefika kumbe mwenzio ana plan B yake,akijihadhari wapi ataponea mambo yakienda kombo,halafu wewe umekazana kukataa wengine ili kulinda uaminifu.
...
Uchumba ambao mnategeana kuvumilia nyakati za matatizo ya mpito kwa kusikiliza ya watu bila kuchuja
...
Uchumba ambao mambo yanaonekana hayawezekani tena lakini kila mmoja anamtegea mwenzake awe wa kwanza kumuacha ili kupata cha kulaumu.
...
ONGEZA NA WEWE