appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,941
- 3,262
ilikua katika shule ya thomas high school nilipokua form 6
msichana huyo alikua ni rafiki yangu tu na si mpenzi kutokana na mkuu wa shule kumtaka na kumfuatilia mda mwing aliwah kuniona nae mara kadhaa kipindi cha mapunziko
siku niliyofukuzwa lilikuja gari la mkaa likiwa na magunia 11 tukiwa tunajisomea kwa ajili ya mtihani zilibakia kama 5 minute tukafuatwa wawili tukabebe gunia za mkaa mimi na mwenzangu(rafiki wa kiume) tuligoma tukaambiwa tumesimamishwa shule hali ya kufukuzwa shule kwa uonevu ilipelekea kuleta fujo na vurugu shuleni na amani ilitoweka hadi nusu ya darasa ilipewa sunspesion niliumia xana