Ronaldo de lima kujiingiza kwenye porn industry

Ronaldo de lima kujiingiza kwenye porn industry

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,050
Reaction score
168,694
ronaldo1.jpg

Mchezaji maarufu kutoka Brazil “Ronaldo De Lima” amejingiza kwenye bishara ya ngono baada ya kugombania nafasi ya kununua umiliki wa gazeti la Playboy nchini kwa kwa Brazil.
Playboy ni jarida linalohusiana na mambo ya ngono na hii ndio sababu kubwa inayofanya gazeti hilo kupendwa na wanaume wengi.
Sources said the ex-World Cup and Real Madrid star is hoping to buy the huge Playboy franchise in his home country — and is close to making a bid.
Playboy inashika nafasi ya tisa katika magezeti yanayoongoza kuuzwa nchini Brazil licha ya kuporomoka kimauzo kutoka copy one million hadi copy 250,000.
source:dailymail. (104)
 
Kichwa cha habar na habar yenyewe ata havijaendana
 
masanzu na Marnah, hivi yule anayemiliki dangulo hausiki na kufanya biashara ya ngono? Kama mtu anaamua kununua hisa au kununua gazeti la mambo ya ngono, au kuwekeza kwa namna yoyote ile kwenye kitu kinachohusiana na ngono, mtu huyo hausiki na biashara ya ngono? Au kujiingiza kwenye porn industry mlifikiria ni kugegeda live? Bujibuji rudi huku kujibu hoja ...
 
Back
Top Bottom