Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Surprise nyingine noma
. Ona hii
.
Nimekuwa nikimchukulia kama rafiki yangu kwa mda mrefu, siku moja kaniambia tukutane sehemu fulani ana maongezi nami. Kwa kuwa ni mtu namfahamu na tunaheshimiana nikakubali kwenda, kufika pale nakaribishwa na mtu ananiuliza mi ni mgeni wa nani, bila kusita nikamweleza kuwa mi sio mgeni wa mtu yeyote niko mwenyewe. Huyo mkaribishaji ndo akanambia kuwa kwa jioni ile wanaingia watu maalum. Wakati naondoka pale hotelini, nikapigiwa sm na kuulizwa nimefika wapi, nikamweleza kuwa nimezuiliwa mlangoni,
Akanambia nirudi nitamkuta yeye mlangoni,
Kuingia ndani nakutana na watu wengi vijana na wamama wengi tu ambao kwa sura nawafahamu. Yule mama akasimama na kunitambulisha kuwa mimi ndo honey wake mpya. Kwa kweli ilinikera sana! Ukizingatia mi ni mume wa mtu, yeye mke wa mtu, sijawahi kumgegeda, sijawahi hata kumtongoza, surprise ya hivyo ni hatari sana, angekuwa wewe ungefanyaje?