scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,685
- 983
Toka nianze harakati zangu za kujitafutia hela huyu mama nilikua nampa heshima sana hapa mtaani kwetu lakini tangu mumewe ameondoka kwenda kijijini kwao nimetokea kuzoeana sana na huyu mama.
Kuna siku aliniomba nimpush hela kidogo katika mtaji wake mie nikaona si tatizo nikampa toka siku hiyo amekuwa karibu na mie mpaka imekua too much, vituko anavyonifanyia hasa kimapenzi hadi natamani kuhama eneo hili.
Ushauri jamani nijihamishie mzigo nyumbani?