Habari,
Kuna haka ka tabia kamekua sasa, mkaka unampa mimba mdada/mchumba then ndo utangaze ndoa, je kuna mapenzi ya kweli hapo?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
yaani hadi hamu ya kuingia MMU huwa inakata heading na alichoandika ni mashariki na magharibiHivi nyie watoto mmeambiana muweke thread zenu muda huu? ' Mara mwenzako anauliza kama binadamu alietunga kama ni pepo,wewe unakuja na uozo mwingine ' Kuna mwenzako mwingine sijui ameuliza kitu gani sijui ' Hebu taratibu nyie watoto!