Makbel
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 774
- 167
Wadau ebu tusaidiane hapa! unaondoka nyumbani unamuaga mkeo vyema
unaenda kibaruani na unamuambia kuwa hali ya kutafuta huko si nzuri na
yeye hakupi ushirikiano wowote iwe kukutia moyo na hata mawazo.
Ukirudi jioni hana habari na wewe zaidi ya kukusalimia tu. Je, pana tatizo
hapa?